kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Dah...Mbeya City Wajanja Sana....Wameona Bora bao Lao la Kufutia Machozi Waliweke Kibindoni Kbs....! Kwa kuwa hakuna namna ya Wao kuendelea Ku contain pressure Ya Mnyama mpaka Mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mbuzi weka update mamaeeeChama is Back, Tiple C is Back.
Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri.
Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea katika ligi kuu ambapo saa 10:00 jioni, atakuwa ugenini jijini Mbeya kumenyana na
Mbeya City.
Je, Mbeya City atamsimamisha mnyama ama mnyama kuchukua alama zote tatu?
Shughuli nzima itakuwa LIVE hapa JF.
Kweli kabisa bora mkate kiuno [emoji1787][emoji1787]Tusikate tamaa tusubir second half
Sisi simba tusubiri penalty na Red Card hatuna uwezo tenaDah...Mbeya City Wajanja Sana....Wameona Bora bao Lao la Kufutia Machozi Waliweke Kibindoni Kbs....! Kwa kuwa hakuna namna ya Wao kuendelea Ku contain pressure Ya Mnyama mpaka Mwisho.
yaani yule ndo aliyepewa majukumu ya kuiokoa Simba leo ***** zake sijui kapewa sh ngapi pia naona kabisa kuna wachezaji wa Mbeya wanatafuta mwanya wa kuisaidia Simba bado wanacheza mpira wa vurugu ili tu wapate red kadi [emoji2959][emoji2959]Hakukuwa na ulazima wa huyo beki kucheza ile faulo maana Kapombe hakuwa na madhara pale haswa ukizingatia alikuwa tayari na kadi ya njano.
Anyway hawa Simba Sc bado hawatatoka hapa Mbeya .
Kabisa sasa ile kadi ya njano ya kwanza ilikua na maana gani?Kariaa ni mak.u sana kila simbwa ikizidiwa lazima kadi nyekundu itokee
Sawa na sisi tunataka waje hivo hivo Ili tukishinda usije geuza maneno ukasema tumepiga bomo mochwari tu.Hao jamaa wakibaki 10 uwanjani huwa wanakuja kama nyuki.[emoji23]
DuhKariaa ni mak.u sana kila simbwa ikizidiwa lazima kadi nyekundu itokee
Red card tayari bado penaitiSisi simba tusubiri penalty na Red Card hatuna uwezo tena
Kweli labda hatujamuhonga leo ndo maanaTusikate tamaa tusubir second half
Kwanza mzamoru sikuhizi kukaba hakabi vizuri!Aliyepanga hiki kikosi cha Simba anajua kweli timu za Mbeya zikicheza na Simba? Bernard Morrison hawezi kuwa chaguo la kuanza hata siku moja. Ana upuuzi flani hivi. Ataigharimu timu
Penalty tutapewa mbili ataingia kagere akazipige simba yangu imekufa imeoza.Red card tayari bado penaiti
[emoji3][emoji16][emoji38][emoji12]
Mkuu unaonaje kama Sheria ya KADI nyekundu ikifutwa kwenye mechi za Simba?Kariaa ni mak.u sana kila simbwa ikizidiwa lazima kadi nyekundu itokee
Kila la kheri Mtani. 🙏Tupo pamoja mtani. Tunawalia timing hawa.
Wewe utakuwa mwananchi sisi makolo hatujaoza bado tupo vizuri [emoji1787][emoji1]Penalty tutapewa mbili ataingia kagere akazipige simba yangu imekufa imeoza.
Ni maelekezo ya Barbra ndugu tuwe wapole.Kwanza mzamoru sikuhizi kukaba hakabi vizuri!
Lakini bado sijaelewa kwa nini kocha kawaanzisha wote wa 3