Mbeya city vs Simba SC uwanja wa Sokoine

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈ
Simba nguvu moja
Simba bingwa
 
Haya malalamiko yako peleka sanduku la maoni pale Yanga.
Goli la juzi la Ngoma uliliona? au umedata
 
Na sisi tulijua mtakuja tu mlitaka wachezaji wa simba watolewe miguu imekatika ndio muamini kama faulo au

Kama unaona kufunga faulo ni rahisi Yule captain WA mbeya city alifanya nini
 
PENATI KWANZA YA KUPEWA NA GOLI LA PILI LA KAGEREE NI OFFSIDE UJUMBE HUU TOKA KWA RAVYU hutibu , ,homa ya Zahera, kifafa kisababishwacho na msongo wa mawazo, kichomi kisababishwacho na kudaiwa kodi ya nyumba, magonjwa ya moyo yasababishwayo na mabusha ya kukosa ubingwa ,presure ya kugomea mazoezi, magonjwa mengine 87 kwa washabiki na warembo wa jangwani na huongeza nguvu za kiume kwa washabiki, wanachama, MO na viongozi wa Simba .
 
Haya malalamiko yako peleka sanduku la maoni pale Yanga.
Goli la juzi la Ngoma uliliona? au umedata

Na ndiyo maana nikasema waamuzi wanaochezesha mechi zote hasa tunapoelekea mwishoni mwa msimu! Hata hiyo mechi ya Yanga na Azam, sikatai! mwamuzi wa ile mechi pia alikengeuka! Wanatakiwa wachezeshe kwa haki na wawe makini ili kupunguza malalamiko na pia wapate nafasi ya kuonekana kimataifa!
 
Ni nchi 18 tu kati ya 54 zilizotoa marefarii, kwa hiyo sio kigezo. Go referees go!
 
Na sisi tulijua mtakuja tu mlitaka wachezaji wa simba watolewe miguu imekatika ndio muamini kama faulo au

Kama unaona kufunga faulo ni rahisi Yule captain WA mbeya city alifanya nini

Bora hata faulo ya kwanza aliyochezewa Said Dilunga ilikuwa 50/50! ila faulo ya okwi iliyozaa goli la pili, mwamuzi ametudanganya wanamichezo na pia wadau wa soka! Okwi alimfuata mwenyewe yule beki! Hakuna faulo ya aina duniani kote! Goli ni halali, ila ile faulo hapana!
 
Mtaumia sana mwaka huu.
Simba akishinda ni kutafuta wapi refa kakosea au kawabeba.
Simba akifungwa dhaifu.
Mmechukua TPL mara 3 mfululizo mlifikiri tulipenda na ndio maana wamejipanga.

Acheni kulialia.
 
Yanga wenzio watakuponda mawe.. (jifiche
 
Mechi ya Singida vs Mtibwa zimeogezwa dk 7 goli la 2 la ushindi la singida limefungwa dakika 90+9 kwa mkwaju wa Penalty na mpira umeisha dakika 102 hahahahahahahahah ingekuwa SIMBA sasa.
 
Mwamuzi hatumii king'amuzi anatumia macho tofauti na wewe umekaa kitini tu unatazama kwenye TV. Watu kama Okwi ni wahuni wanaojua kudanganya sana wakiwa wamebanwa. Ndio maana unatakiwa akili kumkaba. Kwa hiyo refa kupotoka wala sishangai,ukizingatia alipewa mgongo na Okwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…