kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Mbeya City mmefanya kitu mbaya sana...! ...sana..! Mjue Kipigo kimedondoshwa kwenu.. .Lakini Maumivu sasa ..Jangwaniiii..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya malalamiko yako peleka sanduku la maoni pale Yanga.Waamuzi wa kiume walio wengi kwakweli uwezo wao wa kuchezesha mpira hasa wakati huu tunapoelekea mwisho wa msimu unakatisha kabisa tamaa! Leo kwenye hii mechi, mwamuzi kwa makusudi kabisa ametoa faulo mbili zenye utata na zilizoipa simba ushindi wa bure!
Mnawakatisha tamaa wachezaji na timu kwa ujumla! Haiwezekani Okwi amfuate beki mwenyewe halafu anajiangusha na mwamuzi anatoa faulo yenye utata! Kwa haya maamuzi yenu yenye utata, nina imani mtaishia kuchezesha mechi za simba tu!
Na sisi tulijua mtakuja tu mlitaka wachezaji wa simba watolewe miguu imekatika ndio muamini kama faulo auWaamuzi wa kiume walio wengi kwakweli uwezo wao wa kuchezesha mpira hasa wakati huu tunapoelekea mwisho wa msimu unakatisha kabisa tamaa! Leo kwenye hii mechi, mwamuzi kwa makusudi kabisa ametoa faulo mbili zenye utata na zilizoipa simba ushindi wa bure!
Mnawakatisha tamaa wachezaji na timu kwa ujumla! Haiwezekani Okwi amfuate beki mwenyewe halafu anajiangusha na mwamuzi anatoa faulo yenye utata! Kwa haya maamuzi yenu yenye utata, nina imani mtaishia kuchezesha mechi za simba tu!
Haya malalamiko yako peleka sanduku la maoni pale Yanga.
Goli la juzi la Ngoma uliliona? au umedata
Duuh maneno machungu sana kwa VyuraBado mechi 6 tuwe bingwa!
Alisikika mlevi mmoja akisema 😂😂😂Alliance wamechomoa goli dakika 90+5 dhidi ya Kagera sugar inawezekana Alliance amebebwa kabisa hahahahahahahahah
Ni nchi 18 tu kati ya 54 zilizotoa marefarii, kwa hiyo sio kigezo. Go referees go!AFCON 2019 Full list of referees:
Mostafa Gharbal (Algeria), Helder Martinez (Angola), Joshua Bondo (Botswana), Pacifique Ndabihawenimana (Botswana), Aliom Aliom (Cameroon), Gehad Geresha, Mahmoud El-Banna, Amine Omar (Egypt), Bacary Gassama (Gambia), Daniel Laria (Ghana), Peter Waweru (Kenya), Mamadou Keita (Mali), Radwan Jaid, Nour ElDin El-Jaafari (Morocco), Jackson Bafaza (Namibia), Jean Jack Ngambo (DR Congo), Louis Hazikimana (Botswana), Megete N’Diaye (Senegal), Bernard Camille (Seychelles), Al-Fadel Mohamed Hussein (Sudan), Victor Miguel (South Africa), Sadek Al-Salmy, Youssef El-Sarairi, Haitham Kairat (Tunisia), Gianni Sikazowi (Zambia).
UPUUZI KWA WATU WAPUUZI
pale Jangwani 😂😂😂Alisikika mlevi mmoja akisema 😂😂😂
Na sisi tulijua mtakuja tu mlitaka wachezaji wa simba watolewe miguu imekatika ndio muamini kama faulo au
Kama unaona kufunga faulo ni rahisi Yule captain WA mbeya city alifanya nini
Mtaumia sana mwaka huu.Na ndiyo maana nikasema waamuzi wanaochezesha mechi zote hasa tunapoelekea mwishoni mwa msimu! Hata hiyo mechi ya Yanga na Azam, sikatai! mwamuzi wa ile mechi pia alikengeuka! Wanatakiwa wachezeshe kwa haki na wawe makini ili kupunguza malalamiko na pia wapate nafasi ya kuonekana kimataifa!
Yanga wenzio watakuponda mawe.. (jificheNa ndiyo maana nikasema waamuzi wanaochezesha mechi zote hasa tunapoelekea mwishoni mwa msimu! Hata hiyo mechi ya Yanga na Azam, sikatai! mwamuzi wa ile mechi pia alikengeuka! Wanatakiwa wachezeshe kwa haki na wawe makini ili kupunguza malalamiko na pia wapate nafasi ya kuonekana kimataifa!
Mwamuzi hatumii king'amuzi anatumia macho tofauti na wewe umekaa kitini tu unatazama kwenye TV. Watu kama Okwi ni wahuni wanaojua kudanganya sana wakiwa wamebanwa. Ndio maana unatakiwa akili kumkaba. Kwa hiyo refa kupotoka wala sishangai,ukizingatia alipewa mgongo na OkwiBora hata faulo ya kwanza aliyochezewa Said Dilunga ilikuwa 50/50! ila faulo ya okwi iliyozaa goli la pili, mwamuzi ametudanganya wanamichezo na pia wadau wa soka! Okwi alimfuata mwenyewe yule beki! Hakuna faulo ya aina duniani kote! Goli ni halali, ila ile faulo hapana!