Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Asante... Maana wavo pashambulia Mbeya utasema io mikoa mingine ina maajabu
Kungekua kubaya hivo kusingekua na wahamiaji wengi hivi na wakinga wangekua wanaenda Iringa[emoji23]

Kifupi Tz ni kijiji

Sawa mbeya Girl. [emoji4]
 
Na uchafu ,hawa akina mwaisa ni wachafu na washirikina sana na vijumba uchwara vya udongo kwenye huo mji ,na unafiki wa kilokole
 
Mbeya is worst.
Nani wa kulaumiwa?. Mi nimezaliwa na kukulia mbeya. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 maeneo mengi yalikua wazi na nchi ina wataalamu wa mipango miji lakini walizubaa tuu mpaka watu wakajenga hovyo na sasa maeneo ya wazi ni machache hata kujenga shule inashindikana.

Eneo lilipokua Soko la uhindini NHC walikua wameandaa fungu kabisa kupafanya pa kisasa ila madiwani na wafanyabiashara waliokuwepo mwanzo wakafanya fitna mpaka leo pako vilevile tuu. City park pamedorora mpaka wamempa mtu ajenge frame.

Mipango mibaya ya Mbeya serikali inahusika kwa asilimia kubwa, huwezi kuwaachia watu wajenge wanavyojiskia.
 
Ulipoitaja Mbalizi kuwa ipo Mbeya jiji nikajua wewe mgeni Mbeya. Kusoma Mbeya haimaanishi unaijua Mbeya.
Ni kweli Mbeya vumbi lipo lkn hainuki kama Dar, ni kweli Mbeya Kuna nyumba za tope lkn hakuna ujenzi wa kujenga chini ya mawe na kuhatarisha maisha ya wakazi kama Mwanza.
 
Mbeya sio wa kuwaambia wapande miti,kawashauri Dodoma huko wapande.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Na uchafu ,hawa akina mwaisa ni wachafu na washirikina sana na vijumba uchwara vya udongo kwenye huo mji ,na unafiki wa kilokole
Uchafu wa aina gani?
nadhani unasimuliwa tu, mojawapo ya makabila yanayoongoza kwa usafi hapa Tanzania ni kutoka Mbeya.
Ni vigumu sana kukuta nyumba haina choo kwa Mbeya.
 

Kwaiyo sababu Dar au mwanza pako hivyo basi ni Sawa mbeya kuwa chafu na kuwa mji wa mavumbi, kelele, pollution, chaos , disorganized, ujenzi holela nk ?
 
Kwaiyo sababu Dar au mwanza pako hivyo basi ni Sawa mbeya kuwa chafu na kuwa mji wa mavumbi, kelele, pollution, chaos , disorganized, ujenzi holela nk ?
Ni jiji gani hapa Tanzania ambalo halina kelele na ni safi?
Taja moja tu hili tuige mfano wa kustaarabika toka kwenye hilo jiji.
 

Yako mambo mengi yako ndani ya uwezo wa local government kwa 100% , kwa mfano masuala ya public transport ambayo kimsingi wamefeli, masuala ya upandaji wa miti, utengaji na uendelezaji wa wa maeneo ya wazi ya kupumzika (city parks) nk. Yote haya wameshindwa kwa 100% na ni mambo yasiyohitaji fedha kabisa.
Hii ni ushahidi kuwa hawana uwezo wa kusimamia lolote within their capacity.

Hii maana yake ni kuwa hata ikitokea siku tumeboresha katiba yetu ya JMT, tukafanya ugatuzi na provinces zikajisimamia, kuna provinces kama mbeya zitakuwa zipozipo tu wakati provinces nyingine zitapiga hatua haraka zaidi.
 
Alafu kwa vigezo vyako hamna mji mzuri hapa Tanzania fanya uende mbele 😂
mkoa wowote ni mzuri inategemea unaishi sehemu gani😂 mimi niko mbeya kwa sasa nimetokea arusha, hakujajengeka kama arusha ila kuna sehemu zimetulia sema ndo hivyo, uwe na hela
 
Sasa nini maoni yako?.
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…