Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Kuwa na master plan ni issue nyingine na utekelezaji wake ni kitu kingine.Afrika mipango mingi, vitendo zero
 
Kwahiyo Mkuu umeamua kumbishia tu mleta uzi? Sisi watu wa Mbeya tukubali tu ukweli hata kama unauma. Asilimia 95 ya aliyosema mleta uzi ni sahihi.
Mimi mwenyewe ni mzawa wa huko Siwezi kumbishia mtoa mada,Mbeya ni pa kipuuzi sanaaa,tunakwamishwa na viongozi wasio na maono.
 
Kwa mbunge Gani mlie nae!

Mwaka wa 3 huu kafanya nini mbeya
 
Kwahiyo na Dar zile malls ni sehemu ya baridi



Huna akili
 
So Dubai napo Kuna baridi?! Mbna unaongea vitu usivovijua
 
Kwahiyo Mkuu umeamua kumbishia tu mleta uzi? Sisi watu wa Mbeya tukubali tu ukweli hata kama unauma. Asilimia 95 ya aliyosema mleta uzi ni sahihi.
Nashindwa kuelewa kwanini jamaa anapanic, suala la kujadili tu tena sio kwa ubaya ila response ya jamaa ipo emotional sana
 
Nani mwehu kuwekeza BRT nje ya Dsm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…