Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya ya miaka ya 2005 was far better and organized kuliko hii takataka ya sasa yenye bajiji kama uchafu.
Katikati ya mji kumejengwa vijumba vya udongo na hakuna uchochoro wala barabara za mitaa, hilo likijiji likubwa ni tabu sana.
 
Mbeya na Iringa hawana cha kuchekana pote ni hovyo tu lakini Iringa CBD yao ipo well organized
Cbd ndio nini Mzee? Mbeya inawacheka wote mnaoishi kwenye mabanda ya nguruwe na vijumba wa udongo kuanzia Lake zone Hadi Iringa..

Mbeya hakuna vijumba vya udongo na Matope kama vya huko Iringa
 
Bora mabanda ya nguruwe kuliko vijumba vya mbeya kama wanaishi nguchiro.
Hizi Sasa laana yaani mtu unaona fahari kuishi kwenye mabanda ya nguruwe na hakuna usafiri unafika kule milimani 😆😆😆😆

Si ajabu mnanuka umaskini sio Kwa akili hizi,Moja ya Miji ya hovyo hapa Tanzania ni Mwanza ,Ili kuficha aibu utasikia CBD 😁😁😁😁
 
Nan kasema anaishi mwanza, naleta habari ya mbeya kama mda inavyosema we unaendelea kushilia lijiji liloendelea toka ukiwa kwenye kiuno cha baba ako.
 
Umewahi sikia Mbeya ikitajwa kwenye umaskini? It won't happen, umaskini ni stahiki ya Watu wa Kanda ya Ziwa manamba.
Endelea kujifariji nenda huko chunya huoni maskini wa kanda ya ziwa hao wasukuma walivyoshikilia fursa za dhahabu na kuwaacha nyie walugaluga mkikimbilia Dar.
 
Kati ya Idara zilizoliangusha hili Taifa ni HAWA WATU WA MIPANGO MIJI- hovyo kabisa. yaani akiuza openi space anajiona wa maana sana. mbwa kabisa hawa.
na wewe mtoa mada unasema waenda shamba la KILIMO wajenge , wewe ni kipofu wa maono, hata hapo shamba la KILILMO ni kwamba kuna watu walifanya kazi wakapapima pakapendeza wewe leo akili yako ni inafikiria kupatumia tu badala ya kuanzisha kitu. kule eneo la REDIO TANZANIA iwambi nako wanafikiria kupatumia kupima viwanja akili ile ile ya pumba , badala ya mtu kubuni kipya anafikiria kuharibu kitu ambacho mwenzake alibuni na kupendezesha.
 
Sijawahi kuona nyumba nzuri mbeya zaidi ya vichuguu vilivyobanana, kuishi mbeya ni sawa nakuishi kwenye moto wa jehanum
Umekosea Cha kuandika kuhusu sweet Mbeya 😆😆

Njoo nikupe kibarua huku utakufa na njaa huko zizini Mwanza
 
Hivi wewe jiji la wasukuma lilikufanya nini?Mwanza inaingiaje hapa wewe pambana na Mbeya yako waachie wasukuma na jiji lao.halafu nimekwambia acha kulinganisha Mwanza na vimiji vyako hivyo.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Kila mada, kila uzi lazima haitaje Mwanza huwa nashangaa sana, na kila likizo lazima akusanye visenti vyake aje hatalii Mwanza hapo ndio unashangaa.
 
Kati ya Idara zilizoliangusha hili Taifa ni HAWA WATU WA MIPANGO MIJI- hovyo kabisa. yaani akiuza openi space anajiona wa maana sana. mbwa kabisa hawa.
na wewe mtoa mada unasema waenda shamba la KILIMO wajenge , wewe ni kipofu wa maono, hata hapo shamba la KILILMO ni kwamba kuna watu walifanya kazi wakapapima pakapendeza wewe leo akili yako ni inafikiria kupatumia tu badala ya kuanzisha kitu. kule eneo la REDIO TANZANIA iwambi nako wanafikiria kupatumia kupima viwanja akili ile ile ya pumba , badala ya mtu kubuni kipya anafikiria kuharibu kitu ambacho mwenzake alibuni na kupendezesha.
Hawana Bajeti Wala hawajashindwa na pia siasa ndio hovyo xinaingilia..

Mji gani imepangwa hapa Tanzania?
 
Hawana Bajeti Wala hawajashindwa na pia siasa ndio hovyo xinaingilia..

Mji gani imepangwa hapa Tanzania?
ni uzembe wala wasijitetee, ni uzembe toka juu na kukosa maono,
Nyerere alipanga miji mingi - ubungo, national housing blocks nji nzima,
angalia wakoloni walipata wapi bajeti ?
ni utahira mnakimbilia kusema bajeti miji inaharibika. maeneo mazuri yamebaki yale aliyoanzisha mkoloni na NYERERE basi. endeleeni kusema bajeti
 
Hawana Bajeti Wala hawajashindwa na pia siasa ndio hovyo xinaingilia..

Mji gani imepangwa hapa Tanzania?
Endelea kujisemesha eti mji gani umepangwa vizuri hapa Tanzania, hizi ni kauli za kujifariji miji mingi tu ipo vizuri na imepangwa vizuri kuliko hicho kituko cha mbeya.
 
Back
Top Bottom