Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Mbeya na Iringa hawana cha kuchekana pote ni hovyo tu lakini Iringa CBD yao ipo well organizedKwa nini unawashwa na Mbeya? Washwa na kwenu Iringa kwenye tembe huko ,achana na Mbeya kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya na Iringa hawana cha kuchekana pote ni hovyo tu lakini Iringa CBD yao ipo well organizedKwa nini unawashwa na Mbeya? Washwa na kwenu Iringa kwenye tembe huko ,achana na Mbeya kabisa.
Hamia gongo la mboto,kiwalani na kwenye uchafu kama huo kule vibaka na panya road Wala hawapo 😆😆Hapo mwailubi kwenyewe kuna vibaka,tabu tupu
Katikati ya mji kumejengwa vijumba vya udongo na hakuna uchochoro wala barabara za mitaa, hilo likijiji likubwa ni tabu sana.Mbeya ya miaka ya 2005 was far better and organized kuliko hii takataka ya sasa yenye bajiji kama uchafu.
Cbd ndio nini Mzee? Mbeya inawacheka wote mnaoishi kwenye mabanda ya nguruwe na vijumba wa udongo kuanzia Lake zone Hadi Iringa..Mbeya na Iringa hawana cha kuchekana pote ni hovyo tu lakini Iringa CBD yao ipo well organized
Bora mabanda ya nguruwe kuliko vijumba vya mbeya kama wanaishi nguchiro.Fala wewe nenda kaondoe mabanda ya nguruwe yaliyojaa Mwanza ndio uje kuzungumzia Mbeya.
Sasa si Bora ushangae bajaji kuliko mikokoteni na mabaiskeli yaliyojaa pale Mwanza? 😁😁Nije nishangae mabajaji na waluga luga au nishangae barabara za vumbi katikati ya mji.
Bora huko kuliko wapiga nondo wa mbeya, vijana wapo wapo tu hawajielewi kama wewe.Hamia gongo la mboto,kiwalani na kwenye uchafu kama huo kule vibaka na panya road Wala hawapo 😆😆
Hizi Sasa laana yaani mtu unaona fahari kuishi kwenye mabanda ya nguruwe na hakuna usafiri unafika kule milimani 😆😆😆😆Bora mabanda ya nguruwe kuliko vijumba vya mbeya kama wanaishi nguchiro.
Umewahi sikia Mbeya ikitajwa kwenye umaskini? It won't happen, umaskini ni stahiki ya Watu wa Kanda ya Ziwa manamba.Bora huko kuliko wapiga nondo wa mbeya, vijana wapo wapo tu hawajielewi kama wewe.
Sijawahi kuona nyumba nzuri mbeya zaidi ya vichuguu vilivyobanana, kuishi mbeya ni sawa nakuishi kwenye moto wa jehanumCbd ndio nini Mzee? Mbeya inawacheka wote mnaoishi kwenye mabanda ya nguruwe na vijumba wa udongo kuanzia Lake zone Hadi Iringa..
Mbeya hakuna vijumba vya udongo na Matope kama vya huko Iringa
Nan kasema anaishi mwanza, naleta habari ya mbeya kama mda inavyosema we unaendelea kushilia lijiji liloendelea toka ukiwa kwenye kiuno cha baba ako.Hizi Sasa laana yaani mtu unaona fahari kuishi kwenye mabanda ya nguruwe na hakuna usafiri unafika kule milimani 😆😆😆😆
Si ajabu mnanuka umaskini sio Kwa akili hizi,Moja ya Miji ya hovyo hapa Tanzania ni Mwanza ,Ili kuficha aibu utasikia CBD 😁😁😁😁
Endelea kujifariji nenda huko chunya huoni maskini wa kanda ya ziwa hao wasukuma walivyoshikilia fursa za dhahabu na kuwaacha nyie walugaluga mkikimbilia Dar.Umewahi sikia Mbeya ikitajwa kwenye umaskini? It won't happen, umaskini ni stahiki ya Watu wa Kanda ya Ziwa manamba.
Umekosea Cha kuandika kuhusu sweet Mbeya 😆😆Sijawahi kuona nyumba nzuri mbeya zaidi ya vichuguu vilivyobanana, kuishi mbeya ni sawa nakuishi kwenye moto wa jehanum
Kila mada, kila uzi lazima haitaje Mwanza huwa nashangaa sana, na kila likizo lazima akusanye visenti vyake aje hatalii Mwanza hapo ndio unashangaa.Hivi wewe jiji la wasukuma lilikufanya nini?Mwanza inaingiaje hapa wewe pambana na Mbeya yako waachie wasukuma na jiji lao.halafu nimekwambia acha kulinganisha Mwanza na vimiji vyako hivyo.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Hawana Bajeti Wala hawajashindwa na pia siasa ndio hovyo xinaingilia..Kati ya Idara zilizoliangusha hili Taifa ni HAWA WATU WA MIPANGO MIJI- hovyo kabisa. yaani akiuza openi space anajiona wa maana sana. mbwa kabisa hawa.
na wewe mtoa mada unasema waenda shamba la KILIMO wajenge , wewe ni kipofu wa maono, hata hapo shamba la KILILMO ni kwamba kuna watu walifanya kazi wakapapima pakapendeza wewe leo akili yako ni inafikiria kupatumia tu badala ya kuanzisha kitu. kule eneo la REDIO TANZANIA iwambi nako wanafikiria kupatumia kupima viwanja akili ile ile ya pumba , badala ya mtu kubuni kipya anafikiria kuharibu kitu ambacho mwenzake alibuni na kupendezesha.
Jiji ni nini naomba utusaidie na kigezo gani kilitumika kuipa mbeya hadhi ya jiji naomba unisaidie hapa kwanza.Unategemea wajinga kama nyie mtaonge nini? By the way Mnaelewa maana ya Jiji kwanza?
ni uzembe wala wasijitetee, ni uzembe toka juu na kukosa maono,Hawana Bajeti Wala hawajashindwa na pia siasa ndio hovyo xinaingilia..
Mji gani imepangwa hapa Tanzania?
Endelea kujisemesha eti mji gani umepangwa vizuri hapa Tanzania, hizi ni kauli za kujifariji miji mingi tu ipo vizuri na imepangwa vizuri kuliko hicho kituko cha mbeya.Hawana Bajeti Wala hawajashindwa na pia siasa ndio hovyo xinaingilia..
Mji gani imepangwa hapa Tanzania?
Umekosea Cha kuandika kuhusu sweet Mbeya 😆😆
Njoo nikupe kibarua huku utakufa na njaa huko zizini Mwanza