Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji.
kwa namna viongozi wa Mbeya walivyo makini kufuatilia utekelezaji wa miradi, Naweza kutabiri barabara hii itakamilika mwaka ujao. Zoezi la kupisha ujenzi na kupanua njia lilianza mwaka huu na tayari kazi ya kuweka lami imeanza.
Kwa Arusha kilometa 29 ni sawa na kutoka Njiro hadi Usa River
Kwa Mwanza kilometa 29 ni sawa na kutoka Airport hadi shule ya Masabe boys
Kwa Dar kilometa 29 ni sawa na kutoka Udsm hadi hospitali ya Mloganzila
Kwa maoni yangu Mbeya ni kijiji kikubwa lakini inaenda kuweka ufalme wake kwenye miundombinu ukiachana na rekodi zake kwenye vyuo, huduma za afya, maji, urahisi wa maisha, timu za mpira, n.k.