Mbona hiyo kiduchu sana!Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji.
View attachment 3519027
Mwanzo huwa mgumuAisee wameteseka sana na hiko kipande sio kwa lile vumbi.
Ni barabara ya lami njia nne sio njia ya uchochoroni, miradi mikubwa kama hii huchukua hata miaka miwiliMbona hiyo kiduchu sana!
ndio mkuu, kodi, misaada na mikopo ikisimamiwa vizuri nchi inatakaKazi tukuka hizi za dk samia
Ndiyo engineer, contractor au nani? Pesa zilikuwa za msaada, mkopo au za walipa kodi?Kazi tukuka hizi za dk samia