Iwambi, Forest Mpya na Isyesye huku kumepimwa na kupangwa miaka ya hapa karibuni. Lakini maeneo kama Ilemi, Mwanjelwa, Ilolo, Mabatini, Isanga na Uyole hupo hovyo kwelikweliIwambi imejengwa kwa mpangilio mzuri
Huu mji labda ubomolewe koteee na kupangwa upya. Mji umekuwa kama jalala la makazi. Utadhani hayo makazi yamerushwa yakasambaa mbeya kama jalalani.
"Jiji" la Mbeya ni 90% squatters.
Hata aliyekuwa mkuu wa mkoa wakati fulani Mateo Qares, aliliita jiji la Mbeya kijiji kikubwa.
Sehemu ambayo imepimwa vizuri jiji la Mbeya ni lile la mkoloni, Uzunguni, Ghana, Soko Motola(alikofikia Mandela) na Majengo na mjini kati.
Lakini sehemu ambazo kuna watu wengi zaidi kama Mwanjelwa, Mafiati,Isyesye, Mabatini , Nzovwe na sehemu nyingi hali ni mbaya sana.
Dr Tulia sasa tunakutegemea kuanzisha mpango kabambe utakao wezesha kuchonga barabara kati kati ya hizo squatters. Ofcourse lazima watakaobomolewa inabidi walipwe fidia.
Hili lazima lifanyike sasa, maana 50 years later ndio mafanikio yataonekana.
Magufuli ametuonyesha hili, hapo Kimara-Kibaha.
Dr Tulia hili ukifanya litakumbkwa kwa miaka mingi.
Hata Isyesye bado.Iwambi, Forest Mpya na Isyesye huku kumepimwa na kupangwa miaka ya hapa karibuni. Lakini maeneo kama Ilemi, Mwanjelwa, Ilolo, Mabatini, Isanga na Uyole hupo hovyo kwelikweli
Sasa kuanzia Simike, Mbembela, Nzovwi hadi Iyunga ni balaa, hakuna ramani inayoelewekaIwambi, Forest Mpya na Isyesye huku kumepimwa na kupangwa miaka ya hapa karibuni. Lakini maeneo kama Ilemi, Mwanjelwa, Ilolo, Mabatini, Isanga na Uyole hupo hovyo kwelikweli
Hujajibu jinsi ulivyoielewa mada, zumbukuku!Great Thinker hata hufahamu miradi inaandaliwa vipi! Wewe unadhani kwa kuwa Tulia ni Spika basi ana mamlaka ya kuamua fedha za umma zikatumike wapi!
Nonsense!
True!Mbeya ni jiji lililokaa hovyo kuliko miji yote Tz
Kweli kabisaTukiacha kuchekeana na kuoneana huruma Tanzania itakuwa nzuri. Ili tusonge mbele yatakiwa watu waumie
Wee nyani Tulia atashughulikia vipi bila maandalizi ya mradi?Hujajibu jinsi ulivyoielewa mada, zumbukuku!
Kwa hiyo hujawahi ona Daladala zimeandikwa City Center?Huu mji city center sjui huwa ni wapi
Watu wenyewe wa Mkoa huo ndio hao kina Mwambukusi unategemea nini? Ukuaji,ubishi na kiburi 🤣🤣Watu wa Mbeya inabidi wajitafakari sana na wajifunze sana kupajenga kwao vizuri.
Mbeya ni sehemu iliyojengwa hovyo kuliko sehemu zote Tanzania.
Kwa mkoa mzima sehemu iliyopangwa at least ni Kyela tu. Sehwmu nyingine zote ni kama jalala la takataka
Level yako ya kufikiri ni ya chekechea haya mambo tuchie wenyewe.Wee nyani Tulia atashughulikia vipi bila maandalizi ya mradi?
Ungekuwa na akili wala usingemlilia Tulia ambaye uwezo hana wala nia!Level yako ya kufikiri ni ya chekechea haya mambo tuchie wenyewe.
Kimsingi watu wanadhani eti Mbeya yote ni skwata wakati sio kweli.Mbeya nimeishi block T,jacaranda pia
Maeneo kipindi hicho yalipqngiliwa vizuri sana ....
Kwa sasa hali ikoje huko
Ova
Upendo wako kwa Tulia tunaujua fika, hata usipokula..Tulia, ukijikwaa...Tulia..., ukishikwa na tumbo la kuhara.....Tulia.Ungekuwa na akili wala usingemlilia Tulia ambaye uwezo hana wala nia!
Idara ya Mipango Miji Wizara ya Ardhi ivunjwe tu, hakuna lolote wanafanya nchini.Bila shaka mtoa mada umemuelewa.
Na huu ni mchango huru.
Tumetolea mfano majiji yote kuwa yako hovyo kwa 80%. Michango mingi imejikita kuwa Tanzania upande wa mipango miji ni zero.
Nimetolea mfano wa nilikojenga mimi kuwa nako mipango miji ni ovyo kabisa.
Maana kuna watu wasioijua Dar wanaipa sifa ambazo si za kweli.
Ardhi ovyo sana. Kuna eneo langu niliomba nipimiwe ni zaidi ya miaka mitatu sasa. Kila kikenda uswahili tu. Kuna mpima wa manispaa ya ilala ovyo sana. Ni mtu wa Mbeya anashirikiana na wahuni kuzungusha watu wasipate hati zao.Idara ya Mipango Miji Wizara ya Ardhi ivunjwe tu, hakuna lolote wanafanya nchini.