Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mahita alikuwa na cheo kuliko huyu ila sasa hali yake ndio kama ilivyoHuyo Askari mwenye kofia sitashangaa kusikia akipandishwa cheo.
Magufuli miaka yake ni mitano tubaada ya uchaguzi yani rais akiwa nani labda dada?
Mkuu hapa sio ishu ya uvyama, jaribu kuifikiria Tanzania kwanza, uongozi Ni pamoja na busara ,alichokifanya Huyo afande wa jeshi la polisi sio sahihi , kwa mtazamo wangu lakini mkuu.
Kuandaa maandamano na kwenda kuchukua fomu nadhani Chadema wamekosea.
Kwani na Hussein Mwinyi alishindwa kwenda Zanzibar kimya kimya baada ya kuteuliwa kuwa mgombea?Hivi mtu anashindwa kwenda kuchukua form zake taratibu aondoke mpaka akusanye watu kibao aende nao?
Hakukuwa na maandamano bali walikuwa wanamsindikiza mgombea wao kuepuka kuporwa fomu. Polisi wamekuwa wakifumbia macho uhuni wa wagombea wa upinzani kuporwa fomu, wanashangaa nini watu kwenda na ulinzi? Hata ww kila ukienda bank kuchukua hela zako unapotea, utaachwa kuandaa ulinzi?
Yeye police alipomdhihaki kuwa hana uheshimiwa wowote hukuiona hiyo kama provocative vile vile ?!. Kote watu wamechkuwa fomu hivyo na hakuna hata glasi iliyovunjika. Kwanini iwe tofauti kwa Sugu ?!Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.
Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.
The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
RC Chalamila anaharibu Mbeya. Yeye ndiye anayeratibu uchafu wote anaofanya Tulia dhidi ya wapinzani wake kisiasa.achana na Mh Tulia, jana au juzi Mh Lipumba amepokelewa na umati wa watu hapa dar akitokea dodoma, nashangaa kwanini iwe mbeya? au kuna shida nyingine pengine sisi hatujui.
Ni taarifa ya kusudio la jambo utakalo fanya!Sijui
Hicho kidudumtu chenye sura mbaya roho mbaya ndicho kinachoratibu huu uchafu mbeya..... Si mnajua kimepitisha kwa kejeli kabisa eti viongozi na wasaidizi wa mihimili wanaruhusiwa kuvunja katiba bila kushitakiwa.....RC Chalamila anaharibu Mbeya. Yeye ndiye anayeratibu uchafu wote anaofanya Tulia dhidi ya wapinzani wake kisiasa.
Hii ndio Tanzania, waliochukua fomu za urais niliona wanasindikizwa na misafara Kuchukua fomu NEC na tena wengine wakaenda na misafara hiyo hadi unguja na Pemba. Haya hayakuwa maandamano. Kunya ni kunya bahati mbaya akinya bata kaarisha, ama ni hofu ya Tulia ? . Bado tutaona mengiAisee tuna safari ndefu kwa kweli, Mimi sio mshabiki wa Upinzani ila inaumiza. Polisi tendeni haki, naona kama nyie ndo mtatuchafulia amani ya hii nchi. Sijapenda kwa kweli.
do noma sana na mungu anasema........................................................................................................................................... ipo siku mungu atatoa kauri ngum kuliko kunywa maji ya pilipili kama sio kesho basi kesho kutwa , na imekuaJeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.
Tulia alifanya dhihaka ya mazishi kwa maandamano haikuwa na shida. Haya mambo yanatia hasira hata wafaidika wa utawala. Ni ushenziKaenda na maandamano kuchukua fomu wakati hairuhusiwi
Eti anamtishia mwanasiasa kukamatwa,Mtu na manyota take, mwee!
Huwa nawapongeza Sana polisi kuwafarakanisha watz na ccm wanafanya kazi nzuri Sana.Tulia alifanya dhihaka ya mazishi kwa maandamano haikuwa na shida. Haya mambo yanatia hasira hata wafaidika wa utawala. Ni ushenzi
Mbeya huwa awaogopi polisi kupigania haki zao, katika ma rc watakaofukuzwa kazi kwa kushindwa isaidia ccm Ni wa Mbeya na wa IringaMbeya naamini vigilantes hawataniangusha, salamu zinawafikia walengwa soon, tutaheshimiana tu mwaka huu
Tunasema kila siku wenye vurugu ni Polisi. Hakuna maandalizi ya kuchukua fomu. Hivi kule mtama waziri mkuu aliomba kibali.Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.