Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Attachments

  • Huyu jamaa ananiiga....Hongera sana Mzee wa Ngunguli. Mambo ni _fire__fire__fire__fire__fire_ ...mp4
    2.4 MB
Hizo ndizo Orders za Kipolisi...

Si Askari Polisi wote Wana intimidations km alizotoa hapo mwisho....

Ninamkumbuka mzee Wangu aliyekuwa Balozi Wa TZ huko US miaka ya nyuma....
Akiwa mstaafu na Yuko nyumbani Ilitokea sintofahamu ya kibiashara wakaenda baadhi ya Askari polisi nyumbani.Mzee Alikuwa Bafuni anajiswafi...Yuko kijana mmoja miongoni mwao asiye na Soni Wala Kujitambua alikwenda kutaka kumvaba mzee na kuanza kumtolea Maneno ya kashfa yasiyoweza kutamkika,mzee akamjibu kuwa MBONA amekubali kuitii Order bila SHURUTI na Kuwakumbusha kuwa YEYE si raia Wa "barabarani".....
Lakini Wapi Kijana Yule pekee aliendelea KUROMOKWA kashfa...😁😁😁
Wenzake walikuwa Ni WASTAARABU na Wala hawakuongea km YEYE....
 
Mkuu hapa sio ishu ya uvyama, jaribu kuifikiria Tanzania kwanza, uongozi Ni pamoja na busara ,alichokifanya Huyo afande wa jeshi la polisi sio sahihi , kwa mtazamo wangu lakini mkuu.

Lakini Sugu amemmlazimisha polisi kutumia nguvu kwanini asielekee tu mwenyewe kwenye karandinga?

Maana alikwishaelezwa makosa.

Angekwenda mwenyewe na watu wawili watatu kusingetokea yalotokea sasa anapeleka watu ambao wanakuwa mashuhuda na anawaacha hao watu waenda majumbani kwao yeye aelekea polisi.

Tufuate taratibu na sheria wajemeni.
 
Kuandaa maandamano na kwenda kuchukua fomu nadhani Chadema wamekosea.

Hakukuwa na maandamano bali walikuwa wanamsindikiza mgombea wao kuepuka kuporwa fomu. Polisi wamekuwa wakifumbia macho uhuni wa wagombea wa upinzani kuporwa fomu, wanashangaa nini watu kwenda na ulinzi? Hata ww kila ukienda bank kuchukua hela zako unapotea, utaachwa kuandaa ulinzi?
 
Kama ni hivyo basi walinzi wawili watatu watosha.

Si kundi kubwa la watu hiyo yaleta vurugu na uvunjifu wa utulivu.
 
Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.

Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.

The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
Yeye police alipomdhihaki kuwa hana uheshimiwa wowote hukuiona hiyo kama provocative vile vile ?!. Kote watu wamechkuwa fomu hivyo na hakuna hata glasi iliyovunjika. Kwanini iwe tofauti kwa Sugu ?!
 
achana na Mh Tulia, jana au juzi Mh Lipumba amepokelewa na umati wa watu hapa dar akitokea dodoma, nashangaa kwanini iwe mbeya? au kuna shida nyingine pengine sisi hatujui.
RC Chalamila anaharibu Mbeya. Yeye ndiye anayeratibu uchafu wote anaofanya Tulia dhidi ya wapinzani wake kisiasa.
 
RC Chalamila anaharibu Mbeya. Yeye ndiye anayeratibu uchafu wote anaofanya Tulia dhidi ya wapinzani wake kisiasa.
Hicho kidudumtu chenye sura mbaya roho mbaya ndicho kinachoratibu huu uchafu mbeya..... Si mnajua kimepitisha kwa kejeli kabisa eti viongozi na wasaidizi wa mihimili wanaruhusiwa kuvunja katiba bila kushitakiwa.....
 
Aisee tuna safari ndefu kwa kweli, Mimi sio mshabiki wa Upinzani ila inaumiza. Polisi tendeni haki, naona kama nyie ndo mtatuchafulia amani ya hii nchi. Sijapenda kwa kweli.
Hii ndio Tanzania, waliochukua fomu za urais niliona wanasindikizwa na misafara Kuchukua fomu NEC na tena wengine wakaenda na misafara hiyo hadi unguja na Pemba. Haya hayakuwa maandamano. Kunya ni kunya bahati mbaya akinya bata kaarisha, ama ni hofu ya Tulia ? . Bado tutaona mengi

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.

Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.

Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.

do noma sana na mungu anasema........................................................................................................................................... ipo siku mungu atatoa kauri ngum kuliko kunywa maji ya pilipili kama sio kesho basi kesho kutwa , na imekua
 
Mbeya naamini vigilantes hawataniangusha, salamu zinawafikia walengwa soon, tutaheshimiana tu mwaka huu
Mbeya huwa awaogopi polisi kupigania haki zao, katika ma rc watakaofukuzwa kazi kwa kushindwa isaidia ccm Ni wa Mbeya na wa Iringa
 
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.

Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.

Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.

Tunasema kila siku wenye vurugu ni Polisi. Hakuna maandalizi ya kuchukua fomu. Hivi kule mtama waziri mkuu aliomba kibali.

Polisi ni shida, wanafiki wanaoitwa viongozi wa DINI badala ya kupoteza muda wa kuliombea Taifa nendeni mkawaombee polisi. Taifa halina tatizo, wananchi hawana matatizo!
 
Back
Top Bottom