Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Anatafuta nafasi ya Sirro
Naona anavyojitutumua kuonyesha anamudu.

Sugu wanataka kumdisqualify asigombee ili Tulia apite bila kupingwa?!

Wamfungulie kesi wamuachie akajaze form ya kugombea.
 
Hakuna nchi isiyotaka kuomba kibali cha kufanya public assembly kwa sababu ya usalama.

Hizo mechi tu mnazopenda kuangalia za la-liga sijui EPL sio tu zinavibali vya polisi bali mwenyeji analipia gharama za ulinzi wa match day. Ndio maana timu za karibu kama Arsenal na Tottenham uwezi kukuta home games zao zinachweza siku moja kwa sababu wote wanategemea polisi wa eneo moja kufanya ulinzi.

Sembuse ukusanye watu bila ya kibali unless protest itokane na tukio la ghafla na polisi wataangalia the morality of the event kama vile kifo cha yule mmarekani wa juzi wanaweza acha watu waandamane bila ya kibali. Vinginevyo thubutu kuingia barabarani bila kibali uone cha moto.
 
Ndio maana nimesema wanacheza bahati nasibu kukusanyika bila ya kibali ni kuvunja sheria sasa swala la kuamua kupuuzia au kuchukua hatua ni la OCD husika.

Na hapo kwenye hiyo clip hao wasindikizaji waliombwa kistaarabu kwanza. Lissu ni tatizo endeleeni kutetea anachoongea atawaponza watoto wa wenzake.
 
M
Jamaa tapeli huyu..... Anaogopa tu anavomulikwa na mikwara aliyopigwa kutoka nje.....

Moyoni huyu mzee wa kulala kwenye mawe km mjusi ni shetani kabisa
Mkuu Wangu Una Maneno Makali na MATUSI loooh Shusha Pumzi Mkuu Wangu Mana unaweza UKAMMEZA MTU...

Amani Amani Amani Amani Amani.

Jioni Njema Mkuu Wangu
 
Police provocation is a primitive act
 
Ni sula la mda tu huu ujinga utakoma
 
Hivi umesikia lugha ya kijinga aliyotumia huyo polisi? Polisi mwenye mafunzo na weledi siku zote anaepusha utumiaji wa nguvu na lugha chafu kwa wananchi. Hii karne bila kujali hata sababu zilizofanya akamatwe lakini huyo polisi ameonyesha ujinga wa hali ya juu. Ujinga wa kuzuia mikutano aliofanya huyo jamaa yenu ndiyo ulimdanganya akaona kama anapendwa sana na upinzani umesambaratika. Naona Lissu amekuweka kwenye kona mbaya mpaka unashindwa kupumua!
 
Nakubali asilimia 100 lugha ya polisi ilikuwa shida.
 
Kasome public order offences kwenye penal code za Tanzania.
Hakuna kitu kama hicho. Wadanganye mbumbumbu.

Sheria inasema kuwa kwaajili mikusanyiko ya mikutano ya hadhara au maandamano, chama husika KITATOA TAARIFA POLISI angalao masaa 48 kabla kwa mkuu wa Polisi wa wilaya husika. Naye atatakiwa kuandaa ulinzi kwaajil ya kuhakikisha kuna usalama.

Siyo kila kusanyiko unahitajika kuwataarifu polisi.

Siyo mmekutana tu watu 20 kwaajili ya kusukuma gari lililokwama, eti unahitajika kutoa taarifa Polisi.
 
Hata TBC inaona aibu kutangaza kukamatwa kwa Jongwe.
 
Police Force and Auxiliary Service Act 2002

Endeleeni kusikiliza porojo za Lissu hakuna sheria.
Weka nukuu yake hapa. Mnaongea upuuzi tu. Hakuna sheria inayosema kila kusanyiko lazima upate kibali cha Polisi. Hakuna, nina uhakika. Kama kweli ipo, weka hapa kila mmoja aione.
 
Unaandaa maandamano kinyume cha sheria, then unakamatwa unatupwa sero, tarehe za kuchukua 4m ziaisha, unaanza kulalamikia democrasia kuminywa.
Watz tunawacheki tu.
 
Police need not raise voice unnecessary and create a stand off....they have all the powers. When civilised will know that all the powers they have have been vested to them by the same people they stand down as the video shows.
 
Mkuu wangu wa shule kuna wakati aliwahi kutuambia kuwa alishangazwa na watu wanavyoliona Jeshi la Polisi. Kuna mkuu wa shule mmoja katika kutoa comments kuhusiana na mwanafunzi mmoja, wakati wa selectuon, aliandika ifuatavyo,

"Mwanafunzi huyu ni mtukutu, mara mbili aliwahi kukamatwa ameiba mahindi ya shule, ni mgomvi sana, hana heshima, ana uwezo wa chini sana katika masomo. Kazi inayoweza kumfaa ni kuwa Polisi"

Sina shaka wenye sifa hizi badi wapo kwenye Jeshi la Polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Hali hiyo wanakutana nayo sana uraiani

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…