Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Sawa labda hapa unisaidie tafsili ya mandamanoMaandamano bila kibali, ukiwaambia watoe tafsiri ya maandamano au viashiria ili yaatwe maandamano hawana jibu hao wasaka teuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa labda hapa unisaidie tafsili ya mandamanoMaandamano bila kibali, ukiwaambia watoe tafsiri ya maandamano au viashiria ili yaatwe maandamano hawana jibu hao wasaka teuzi
Naona anavyojitutumua kuonyesha anamudu.Anatafuta nafasi ya Sirro
Hakuna nchi isiyotaka kuomba kibali cha kufanya public assembly kwa sababu ya usalama.Ni sheria za kikoloni tu hizo kwani wenzetu hapo jirani tu hawana sheria za kuomba vibali vya kuandamana. Mkoloni wakati wa harakati za kupigia na uhuru aliweka sheria za watu zaidi ya wawili wakionekana ni unlawfu assembly. Tanzania huru tunakuwa kama South Africa kipindi cha apartheid.
Issue kubwa hapo ni kuwa wangewaacha kulikuwa na tatizo gani as tunaona mikoa mingine wagombea wakisindikizwa na hakuna tatizo. Watanzania bado tunatii sheria hata kama zinatunyima haki yetu ya msingi ya kibinadamu.
Ndio maana nimesema wanacheza bahati nasibu kukusanyika bila ya kibali ni kuvunja sheria sasa swala la kuamua kupuuzia au kuchukua hatua ni la OCD husika...hivi umeona jinsi polisi walivyokuwa na SILAHA NZITO?
..sasa hawa polisi wanalinda usalama, au wanahatarisha usalama?
..mbona maeneo mengi CDM wamechukua fomu bila vurugu zozote zile?
..kwa kweli polisi wanapaswa kujiongeza wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.
Mkuu Wangu Una Maneno Makali na MATUSI loooh Shusha Pumzi Mkuu Wangu Mana unaweza UKAMMEZA MTU...Jamaa tapeli huyu..... Anaogopa tu anavomulikwa na mikwara aliyopigwa kutoka nje.....
Moyoni huyu mzee wa kulala kwenye mawe km mjusi ni shetani kabisa
From this video you get a different perspective polisi anapoweka mikono yake yote kifuani au kwa nyuma ana ashiria tii kwa amani.
Ukinyanyua yako una ashiria shari kwake na umemruhusu kutumia nguvu. Kwanza unaposhikwa na polisi hakikisha mikono yako anaiona.
Halafu kumbe ukaidi ulianzia getini. Japo lugha ya polisi aikuwa nzuri I think both parties are blameworthy after watching the second video.
ExplainPolice provocation is a primitive act
Ni sula la mda tu huu ujinga utakomaJeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.
Hivi umesikia lugha ya kijinga aliyotumia huyo polisi? Polisi mwenye mafunzo na weledi siku zote anaepusha utumiaji wa nguvu na lugha chafu kwa wananchi. Hii karne bila kujali hata sababu zilizofanya akamatwe lakini huyo polisi ameonyesha ujinga wa hali ya juu. Ujinga wa kuzuia mikutano aliofanya huyo jamaa yenu ndiyo ulimdanganya akaona kama anapendwa sana na upinzani umesambaratika. Naona Lissu amekuweka kwenye kona mbaya mpaka unashindwa kupumua!Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.
Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.
The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
Nakubali asilimia 100 lugha ya polisi ilikuwa shida.Hivi umesikia lugha ya kijinga aliyotumia huyo polisi? Polisi mwenye mafunzo na weledi siku zote anaepusha utumiaji wa nguvu na lugha chafu kwa wananchi. Hii karne bila kujali hata sababu zilizofanya akamatwe lakini huyo polisi ameonyesha ujinga wa hali ya juu. Ujinga wa kuzuia mikutano aliofanya huyo jamaa yenu ndiyo ulimdanganya akaona kama anapendwa sana na upinzani umesambaratika. Naona Lissu amekuweka kwenye kona mbaya mpaka unashindwa kupumua!
Hakuna kitu kama hicho. Wadanganye mbumbumbu.Kasome public order offences kwenye penal code za Tanzania.
Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.
Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.
The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
Weka nukuu yake hapa. Mnaongea upuuzi tu. Hakuna sheria inayosema kila kusanyiko lazima upate kibali cha Polisi. Hakuna, nina uhakika. Kama kweli ipo, weka hapa kila mmoja aione.Police Force and Auxiliary Service Act 2002
Endeleeni kusikiliza porojo za Lissu hakuna sheria.
Lipumba jana?Mbona akina Maarim hawakukamwatwa?
Police need not raise voice unnecessary and create a stand off....they have all the powers. When civilised will know that all the powers they have have been vested to them by the same people they stand down as the video shows.Explain
Naona Hali hiyo wanakutana nayo sana uraianiMimi polisi hata awe ndugu yangu wa damu sitakaa
1.Nimchangie harusi
2.Sitakaa niende msiba wa polisi
3.Sitakaa nimzike
4.Sitakaa nimkope hata kama nahakika anakufa mama yake
5.Sitakaa nimpangishe
ANGALIZO: Sitakaa nivunje sheria kwenye kuwadeal ikiwemo kutowatukana ,kutowaua ,japo siwezi kuahidi sitowaombea mabaya