Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Kasome ‘police force and auxiliary services act 2002’ mkusanyiko usiokuwa na kibali ni kosa la kisheria.

Nachokubaliana na wewe vitu vingine polisi wanatakiwa kutumia busara.
Hiyo busara ndiyo niliyokutaka wewe ujiweke kwenye position ya RPC wa Mbeya. Tusubiri siku mh Tulia anachukua form tuone, tutarudi hapa tujadiri namna atakavyokua amechukua form. Watu wamekaa kimya bila siasa miaka 5, leo kweli hiyo ya watu kumsindikiza imekua nongwa!!!!???
 
Aisee tuna safari ndefu kwa kweli, Mimi sio mshabiki wa Upinzani ila inaumiza. Polisi tendeni haki, naona kama nyie ndo mtatuchafulia amani ya hii nchi. Sijapenda kwa kweli.
Kumbuka issue ya Daud Mwangosi.
 
Nakodi wanalipa ccm pekeyao. Barabara zinazojenga wana changishana kwenye vikao vya ccm . Hii ndo inawapa kiburi muone hili taifa nimali ya ccm .mpaka vikao vya ccm mnafanyia ikulu.
 
Yaani jeshi namabavu yao nasilaha mafunzo nakila kitu lakin bado wanashikiwa na ccm, wanashangaza sana hawa jamaa
Elimu muhimu ili uweze kuchanganua mambo ,kama uli-fail uwalimu na uaskari umeshindwa? Je kauli kama hii unaielewaje.
 
Acha kushikiwa akili. Hakuna kosa kwenda kuchukua fomu na watu! Mbona Mwakanjoka alichukua juzi Tunduma na hakukuwa na shida. Huu ni uonevu wa mchana kweupe na ninajua wana mbeya lazima walipe.

Enough is enough!!

Kweli kbs hata mim niliona,hizi ni njama zakutaka kumfanyia hujuma,hiv kwa nin sisiemu wanaogopa uchaguzi? Kama tuliwaachia miaka mi5 wafanye kampeni lkn bado,naamin huu uchaguzi ukiwa huru ashb jpm anarudi chato.
 
Kama utaona post zingine za nyuma nimeita ili zoezi la CDM ni kucheza kamali hujui jamaa watakavyokuja.

Kuna wengine jana tuliona walikuwa ka kikundi kidogo tu polisi waliwatanya mgombea andelee mwenyewe, leo huyu size ile ile wameona halali yao.

Busara ni kutowapa sababu maana sheria ipo upande wao.
 
Wambie. Siasa zimezuiwa miaka 5, leo hata kwenda kuchukua form rafiki zako waliokumis kwa muda wote huo wanakusindikiza imekua nongwa!!!?? Siasa isiyo na wafuasi ni siasa gani hiyo???
kwa kweli nimeshaanga sana nilipoona hii kitu, hawa askari wapaaswa waache hii tabia haikisaidii chama zaidi wanawafanya wapiga kura wamuonee huruma tu huyo mgombea.
 
Nakodi wanalipa ccm pekeyao. Barabara zinazojenga wana changishana kwenye vikao vya ccm . Hii ndo inawapa kiburi muone hili taifa nimali ya ccm .mpaka vikao vya ccm mnafanyia ikulu.
CCM ndio wenye serikali tatizo lako nini?
 
Inawezekana au ni kujipendekeza kwa wahusika


Au mtuhumiwa kukaidi maelezo aliyo pewa na polisi kabla hawajafika kukamatana
Maagizo au kujipendekeza ili kupata cheo ukuona ya mahakimu kuwashughulikia wapinzani wakateuliwa ujaji.tumbo Ni kitu kibaya sana
 
Maagizo au kujipendekeza ili kupata cheo ukuona ya mahakimu kuwashughulikia wapinzani wakateuliwa ujaji.tumbo Ni kitu kibaya sana
Sawa yote yanaweza kuwa majibu

Ila hata mhusika anaweza kuwa na makosa yake binfsi

Tusiegemee upande mmoja tu
 
kwa kweli nimeshaanga sana nilipoona hii kitu, hawa askari wapaaswa waache hii tabia haikisaidii chama zaidi wanawafanya wapiga kura wamuonee huruma tu huyo mgombea.
POLISI WATAKIWA KUSIMAMIA NIDHAMU: Polisi imewataka maafisa wake kusimamia nidhamu na haki wakati wa kusimamia harakati mbalimbali za uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu, Benedict Wakulyamba wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya maafisa wanadhimu wa polisi na wahasibu wa jeshi hilo kutoka mikoa yote nchini.

Hiyo ndiyo elimu nadharia. Tunayo danganywa nayo..
 
Huyu Mwenyekiti wa CCM asiachiwe afanye anachotaka... kama uchaguzi na akufuate basi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…