Mbeya kutamu bwana, usisikie habari za mtandaoni

Majambazi nishasema! Njooni mnipige🏃🏃
umechanganya na moshi labda,,,,mbeya kila baada ya nyumba 10 kanisa la walokole,hapa tanzania asilimia kubwa ya viongozi wa makanisa makubwa na madogo,na waimbaji wa gospo ni watu wa mbeya..
 
Maisha nafuu mbeya, nyumba zimejengwa kiholela, wasafwa washamba sana na wachafu, wanyakyusa majidai mengi ingawa ni maskini, wakinga wameshikilia biashara.
Wasafwa tuna uchafu gani? Mtu kazi yake kulima na anakaa juu kwenye jua la kuchoma ukimkuta kwenye mazingira yake utasema mchafu!?
 
Halafu wanafanya tambiko na maombi. Vinajicancel.
 
Hapo ni Floor ya pili pale Holiday Hotel! Vyumba safi kwa 20k Mbeya maisha poa sana
ewaaaa....umenikumbusha jina la hotel.

ila kwa sasa wamepaboresha sana, sidhani kama bado wanaendelea ku charge 20K, i think imefika 30K.
 
Mlima Loleza niliupanda 2004 hadi kule juu kwenye mnara hivi ni kwa nini kila ukitembea umbali flani kutoka pale Hospital ya rufaa kuukwea mlima kuna misalaba?
Ile misalaba iliwekwa na wazungu, zamani tulikuwa tunasema nì alama zao za.kuelekea kwenye hazina
 
Walidanganywa na buji hapa hapa JF na ajali hazijakoma
Walidanganywa na buji hapa hapa JF na ajali hazijakoma

Halafu wanafanya tambiko na maombi. Vinajicancel.

Duuuh selikari zetu

Zina maajabu mengi machifu na wachungaji wanafanya ibada sehemu moja
Sisi waafrika sjui tumelogwa wapi.. kwahiyo haya maombi yanapaswa kwenda kwenye magari na kuzuia breki zisifeli, au yanapaswa kuupunguza mteremko mkali uwe tambarare.
Mwanafilosofi mmoja alishasema "big problems happening when we fail to solve small problem"
Na pia badala ya kutatua tatizo sisi tunatafuta njia mbadala ya kulikwepa tatizo. Hapo ndipo tunapofeli sana.
 
Bhati mbaya imani za dini siyo kigezo cha kumdignose mtu kuwa na kichaa. Lakini vichaa na wapumbavu ni wengi sana.
 
Picha ya Mt. Loleza haijatenda haki. Hii hapa nilipiga mimi last December nikiwa barabara ya Mbeya Day-Magereza. Imekua wallpaper kwenye PC yangu ever since.

View attachment 2370027
Nimeruka sana kwenye huo ukuta wa matofali ya kuchoma wa hapo Mbeya day.

Nilisoma hapo Mbeya day O'level miaka mingi iliyopita. Umenikumbusha mbali sana kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…