Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

Kwa hiyo unabisha kama walikuwa wanauza?
 
Dhalimu wako hakumtuma mdude awe anatukana hovyo na kuuza ngada

Auze madawa ya kulevya wapi ww, au unadhani tabia za madictator uchwara dhidi ya wakosoaji wao hazifahamiki? Huyo kubambikia kesi ni mbinu so outdated, dhalimu alikuwa anafanya marudio tu.
 
Kumbe ukimshirikisha Mungu kwenye maombi huwa anajibu.

Kuna picha nimeona wafuasi wa Chadema walikuwa wanasali kabla ya hukumu kusomwa, kisha baada ya muda Hakimu ameahirisha kusoma hukumu.

Sitashangaa kuja kusikia huyu Mdude akiachiwa huru, maana hii kesi inajulikana ni ya kupikwa. Pia huyu Mdude hakuwa na Chuki na huu utawala mpya wa sasa.
 
Auze madawa ya kulevya wapi ww, au unadhani tabia za madictator uchwara dhidi ya wakosoaji wao hazifahamiki? Huyo kubambikia kesi ni mbinu so outdated, dhalimu alikuwa anafanya marudio tu.
Kwa hiyo wewe una bisha kama alikuwa anauza madawa?
 
Wamemuomba Mungu huyu huyu waliesema hawezi kujibu maombi ya corona?
 
Wamemuomba Mungu huyu huyu waliesema hawezi kujibu maombi ya corona?
Ni kweli Mungu huyohuyo. Ila wao hawakuombea Corona ndio maana maombi yao Mungu ameyasikia kiwepesi.
 
Mkuu Hakika MUNGU amekusikia na Mama Samia yamemfikia haya maombi ndio maana Jaji kasema amehairisha kwa sababu za nje ya Mahakama.
 
Wewe unabisha kama walikuwa wanauza madawa?
Nasema hivi, kama dhalimu alijua Mdude anauza unga, kwanini aliagiza atekwe kwanza badala ya kumpeleka mahakamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…