Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

Misukosuko ya wapinzani (watu wenye hoja kinzani) haijaanza kwa Mdude, hata Gwajima aliambiwa anatumia na kuuza kabisa!

Mdude alianza kupata uonevu tangu 2016 hadi sasa, awali kuna mashtaka amewahi kuishinda serikali mahakamani. Ndiyo JIWE akaona atumie mbinu OVU ikiwemo kwanza kumteka na kumtesa kisha kutupwa akiwa hoi. Akiwa katika wimbi la majeraha akapewa kesi ya kutoa lugha chafu, ghafla ikafa ikaja ya uhujumu uchumi, nayo ikafa ikaja ya dawa la kulevya! Tatizo unaandika ukiwa umeshiba ugali wa shemeji na bando la dada yako, hujui how things work kwenye tawala za KIDHALIMU kama alivyokuwa JIWE!
Kwa hiyo unabisha kama walikuwa wanauza?
 
Dhalimu wako hakumtuma mdude awe anatukana hovyo na kuuza ngada

Auze madawa ya kulevya wapi ww, au unadhani tabia za madictator uchwara dhidi ya wakosoaji wao hazifahamiki? Huyo kubambikia kesi ni mbinu so outdated, dhalimu alikuwa anafanya marudio tu.
 
Kumbe ukimshirikisha Mungu kwenye maombi huwa anajibu.

Kuna picha nimeona wafuasi wa Chadema walikuwa wanasali kabla ya hukumu kusomwa, kisha baada ya muda Hakimu ameahirisha kusoma hukumu.

Sitashangaa kuja kusikia huyu Mdude akiachiwa huru, maana hii kesi inajulikana ni ya kupikwa. Pia huyu Mdude hakuwa na Chuki na huu utawala mpya wa sasa.
 
Auze madawa ya kulevya wapi ww, au unadhani tabia za madictator uchwara dhidi ya wakosoaji wao hazifahamiki? Huyo kubambikia kesi ni mbinu so outdated, dhalimu alikuwa anafanya marudio tu.
Kwa hiyo wewe una bisha kama alikuwa anauza madawa?
 
Kumbe ukimshirikisha Mungu kwenye maombi huwa anajibu.

Kuna picha nimeona wafuasi wa Chadema walikuwa wanasali kabla ya hukumu kusomwa, kisha baada ya muda Hakimu amehairisha kusoma hukumu.

Sitashangaa kuja kusikia huyu Mdude akiachiwa huru, maana hii kesi inajulikana ni ya kupikwa. Pia huyu Mdude hakuwa na Chuki na huu utawala mpya wa sasa.
Wamemuomba Mungu huyu huyu waliesema hawezi kujibu maombi ya corona?
 
Mungu wa Mbinguni ikiwa uliweza kumtoa Petro katikati ya gereza tena chumba Cha ndani Kama maandiko yesamavyo, na ikiwa ulimponya Daniel na Simba wenye njaa Kali ukawafunga vichwa vyao, na pale alipokuomba Joshua jua lisimame na ukafanya hivyo.

Naamini hujabadilika kamwe wewe na mwanzo tena mwisho, asubuhi ya leo najitakaza kwa ajili ya Taifa langu Tanzania, najitakasa kwa ajili ya Rais wangu Samia Suluhu Hassani

Natubu kwa ajili ya jaji Mkuu wa Tanzania, natubu kwa ajili ya majaji wa mahakama kuu ya Mbeya pamoja na jaji atakaehukumu kesi ya mtumwa wako Mdude, Natubu pia kwa ajili ya Mdude.

Najua kila mwanadamu ana mapungu yake na kamwe anakuudhi na kukukosea, inuka eeh Bwana kwenye kiti Cha enzi geuza uso wako ukamwangalie mtoto wako Mdude Leo hii mahakani, simama Mungu wa Ibrahimu, Isack na Yakobo tazama wanao wote waliokusanyika mahamani wakisuburi hukumu watie nguvu wape uvumilivu na huruma pia wape, kafanye Jambo ambalo litaacha midomo ya watu ikiwa wazi ukimtetea waziwazi mtumushi wako Mdude.

Kwa jina la Yesu Kristo wanazareti Naomba nikiamini hivyo ameeni
Mkuu Hakika MUNGU amekusikia na Mama Samia yamemfikia haya maombi ndio maana Jaji kasema amehairisha kwa sababu za nje ya Mahakama.
 
Wewe unabisha kama walikuwa wanauza madawa?
Nasema hivi, kama dhalimu alijua Mdude anauza unga, kwanini aliagiza atekwe kwanza badala ya kumpeleka mahakamani?
 
Back
Top Bottom