Mbeya: Mambo yameanza kuiva, Vituo vya kuanzia Maandamano vyaanza kufurika wananchi

Mbeya hatuna mbambamba[emoji91]
Ni vibe kama lote

Graduates tunaoteseka mtaani
Wajasiriamali wadogo tunaokatiliwa na umeme na bei ya sukari
Na maccm yote yamejaa
Tupo pamoja.
Twisile lelo twe bha Chadema
 
Yaani sisi tulipe kodi halafu maccm yazichote kwa wizi wakishirikiana na majizi ya Kiasia.Kwani pia kuna mtanzania anayelishwa na CCM?kama wanajilisha wenyewe maana yake wanafanya kazi kwa bidii lkn juhudi zao zinafifishwa na kundi dogo la maccm
 
NdaghaπŸ”₯πŸ”₯
Wewe hapa sijui ni yupi

Ningefurahi sana kukuona Mkuu
niko kwenye kundi hili , nimevaa kofia nyeusi ya M4C na fulana nyekundu ya Katiba mpya , nimeshika bango la bei ya sukari

 
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mh Mbowe ni mwamba
Sijawahi ona kiongozi wa CCM anaandamana kwa miguu Tena Mlimani namna hii
 

Attachments

  • VID-20240220-WA0031.mp4
    3 MB
Puppet ameanzia upande gan πŸ’
 
Mimi sina madhara

Maandamano yamenipa vibe tu nikajikuta ntaandamana japo kwa umbali mfupi.

Tatizo la umeme na bei za sukari vinanigusa mimi mlalahoi.
vinakugiza vip akati online uko active 24/7πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…