Uchaguzi 2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Mungu Baba ninatubu kwa dhambi zangu na taifa letu Tz, tuonee huruma, tujalie hekima na busara tukafanye wajibu wetu kupiga, kuhesabu, kutangaza matokeo kura itakayo leta HAKI na ustawi wa taifa letu.

Amina
Big up mkuu
 
mpaka sielew matokeo ya Mbeya! kila m2 anaropoka 2
 
Dr kashinda huko Kura zaidi ya elfu sabini na Sugu kura elfu 30 naah....
 
Sugu kashindwa tayari wametangaza muda huu.Tulia kaibuka kidedea huko
 
Mbeya mjini tayari,Tulia kashashinda.Sugu kwaheri ndio politics ilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…