mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Akibadilika watamrudisha. Kuna video yake nyingine kaongea hovyo sana kwamba yeye anazaa tuu kulea watajua mama zao. Kama kiongozi wa wananchi anakosea japo ni mtu peace sanaalikuwa na msaada mkubwa saana kwa vijana hasa bodaboda na bajaji