Uchaguzi 2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Pole sana sugu, umevuna ulichopanda. Ulifikiri matusi yako ya IG na Twitter yatakusaidia. Haya karibu mtaani utukane vizuri
 
Ni simanzi kubwa kigoma mwanga kaskazini japo mimi ni ccm ila anguko la baba levo limenigusa saana

naandika hapa kwa uchungu saana
Baba levo ameconfirm kushindwa udiwani kupitia account yake ya Instagram
 
Back
Top Bottom