MBEYAILEMBO
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 136
- 58
Zwazwa unatamani ingekua kweli.Tulia anafanya vizuri mbeya.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zwazwa unatamani ingekua kweli.Tulia anafanya vizuri mbeya.....
Ahsante sana watu wa mbeyaSugu ana mkimbiza sana tuli, kwa matokeo niliyopata mpaka muda huu sugu 70% tulia 25% 5% Vyama vingine.
Katika hizo 16 walipita bila kupingwaCCM inaongoza kata 21 bado kata 15 UDIWANI jimbo la Mbeya Mjini .
Mkuu me nimeelewa vibaya amaCCM inaongoza kata 21 bado kata 15 UDIWANI jimbo la Mbeya Mjini .
We kweli kSugu kakataliwa na Mbeya
Tupunguze UONGOCCM inaongoza kata 21 bado kata 15 UDIWANI jimbo la Mbeya Mjini .
Kwani ukizaliwa Mbeya ndiyo nini?Tupunguze UONGO
Kata 16 CCM walipita bila kupingwa na zikabaki kata 20 tu zenye wagombea
Sasa hizo kata 35 umezipata wapi?
Mzaliwa wa Mbeya mm,Tulia hawezi shinda Mbeya
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeanzisha mada na huna updates zozote za uhakika.
Speculations tu!
Mbona unaandika kiukuda kida Sana?? Ebu nyamaza banaSubiri tume ikupe tarakimu... But ujue kata 15 tunaongoza mpaka sasa
Kama tTulia amefanyia wanambeya mengi