LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Wekeni hapa matokeoiHujui kitu.... Ituha kashapigwaa, sisimba kapigwa.... Au nkutajie na vingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeni hapa matokeoiHujui kitu.... Ituha kashapigwaa, sisimba kapigwa.... Au nkutajie na vingine
Wekeni matokeo, acheni isuzu na manenoKitulize hapo.... C mnaleta mboyoyo... Kituo karibia 40, kapigwaa huyo sugu wenu mpaka sasa
Haahaa uwongo wa mchana kweupeShule ya msingi uyole..Tulia 1478,Mbilinyi 121.
Subiri tume ikupe tarakimu... But ujue kata 15 tunaongoza mpaka sasaWekeni hapa matokeoi
Tunataka mpige picha matokeo ya vituoni..Subiri tume ikupe tarakimu... But ujue kata 15 tunaongoza mpaka sasa
Tulia amefanyia wanambeya mengiShule ya msingi uyole..Tulia 1478,Mbilinyi 121.
Anko bwege upo?[emoji23][emoji23][emoji23]Shule ya msingi uyole..Tulia 1478,Mbilinyi 121.
Kumbe nawe umo?Sugu kwaheri ya kuonana.
Duh! Mapenz yakizidi sana huwa ufala wakati Fulani ujueChadema hawatakaa wamsahau Magufuli. Na hapo akiapishwa hakuna siasa mpaka 2025, mkija kujikung'uta mnaanza kugawa ubwabwa pale Ufipa. Asanteni watanzania kwa kuwapa mikwaju ya kisawasawa.
Huko soko matola ni mziki wa diamond tuDuh! Mapenz yakizidi sana huwa ufala wakati Fulani ujue
Mungu awatetee wandu wa pa mbeyeshule ya msingi kituo no5, mbilinyi kura 203, tulia kura 26, hali ngumu sana.
Utopolo, chalamila anawatosha vizuri kabisa. Wananchi wanatulia kwa Tulia.Mbeya kama Mbeya itasimama
Tulia anafanya vizuri mbeya.....Mungu tuepushie kile kidudumtu cha ccm pale mbeya mjini kisijekikaharibu nchi yetu kupitia pale bungeni....
Naona mama mikopo kakuajiri umpgie propaganda humu shame on you buku 10 inakutoa akili hivi.Huko soko matola ni mziki wa diamond tu