Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujidanganyaaMbarali, rungwe, kyela mbeya mjini na mbeya vijini ni CHADEMA
Endelea kuotaMbarali, rungwe, kyela mbeya mjini na mbeya vijini ni CHADEMA
Kitulize hapo.... C mnaleta mboyoyo... Kituo karibia 40, kapigwaa huyo sugu wenu mpaka sasaWekeni matokeo acheni porojo
umejuaje kama si ushambengaNilikopiga kura Sugu kaangushwa puu!
Mbona tulia kapigwa kila kona mkuu...Kitulize hapo.... C mnaleta mboyoyo... Kituo karibia 40, kapigwaa huyo sugu wenu mpaka sasa
Tumeshapigwa vituo vitatu tena kwa gap ndogo tuMbona tulia kapigwa kila kona mkuu...
Hizi ni hasira za talaka?Kitulize hapo.... C mnaleta mboyoyo... Kituo karibia 40, kapigwaa huyo sugu wenu mpaka sasa
Matokeo basiNaona Mbeya watu wanashangilia ushindi kwa Tulia
Tulia mdgo angu dawa ikutieumejuaje kama si ushambenga
Hahahaumejuaje kama si ushambenga
Wewe nakufahamu vizuri acha niishie hapoVituo vingi tu sugu kapigwaa kwa kula touti ya mamia, pengine kapata 30 kabisa