stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Ni simanzi kubwa kigoma mwanga kaskazini japo mimi ni ccm ila anguko la baba levo limenigusa saana
naandika hapa kwa uchungu saana
kuna next time mkuu, ajaribu again next time ila sasa ajitahidi kuwaskiliza wananchi zaidi wanataka nn, akienda na akiliza za upinzani ataanguka tena, ingawa sidhan kama ana tabia hii