Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Mbwa mwitu kabisa waleNatoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa mwitu kabisa waleNatoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani...
Yote kwa pamoja
Mkuu mdude hutaona akitukana tenaBendera fuata upepo bana. Nadhani sasa umeelewa kwanini watu wanaojitambua walikuwa wanapiga kelele kuhusu yule dhalimu.
Kwa hiyo mdude hata kufa?Aliemnyoosha kaishia kufa yeye, ila hii dunia[emoji119][emoji119][emoji119]
Mkuu mdude hutaona akitukana tena
Kumfundisha mtoto mjeuri adabu siyo chukiMagufuli alikuwa na moyo uliojaa chuki sana. Sijui aliishije na chuki kubwa namna hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndio maana kila siku huwa nasema sasa tuko vizuri,?Amtukane nani wakati dhalimu hayupo? Tatizo lake lilikuwa ni yule rais muovu, na muovu hayupo na uovu sasa umepungua, baada ya muovu kuelekea kuzimu.
Umoja ni kitu muhimu sana na kipekee niwapongeze Bavicha na Chadema kwa ujumla kwa namna walivyompigania Mdude Nyagali mwanzo mwisho na leo yuko huru.
Nategemea UVCCM na CCM kwa ujumla mtaiga " roho ya Upendo " kutoka kwa wenzenu wa Chadema ili mumpiganie komredi Ole Sabaya aliyeko magereza au Lupango.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Angehukumiwa kwenda Gerezani basi muda huu Hakim angekuwa anajadiliwa vikali lakin Kwa kuwa kaachiwa huru hakuna hata anayefaham jina la hakimu. Tatizo CDM wanapenda sana kuonewa huruma
Tumeumbukaje?masikini mataga pori roho imewauwa mmeumbuka [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
ASANTE MUNGU KWA KUTUONDOLEA SHETANI NA KUTULETEA MALAIKALeo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.
Mdude ni Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA ambaye alitumia muda mwingi kuikosoa Serikali ya Awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati John Magufuli. Mdude anajitambulisha kama mpiganiaji uhuru wa kujieleza na uhuru wa kuwepo mdahalo wa kisiasa.
Pia soma
- Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi
Pia ni aibu kwa mwendazake na waliokuwa wanamsifia, hapa ndio nimeamini mama alishawahi kutaka kujiuzuruMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.