Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MdudeMkuu nani alikuwa jeuri sasa? Kinana au Makamba?
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.
Mdude ni Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA ambaye alitumia muda mwingi kuikosoa Serikali ya Awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati John Magufuli. Mdude anajitambulisha kama mpiganiaji uhuru wa kujieleza na uhuru wa kuwepo mdahalo wa kisiasa.
Pia soma
- Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi
Sasa huoni kama mwendazake alikuwa akitumia vyombo vya dola kuonea watu.Mdude
Tuwekee kwa maandishi mkuu, maandishi yanadumu sana hapa jukwaani ili tuweke kumbukumbuNamna alivyoiwasilisha utadhani ni Wapigania uhuru wa zamani kama Kwame Nkrumah au Nelson Mandela , ama labda unaweza kudhani ni Mmarekani Mweusi Martin Luther , Hakika huyu kijana anacho kipawa fulani ndani yake , hebu Msikilize mwenyewe
View attachment 1833730
Pamoja na Mungu kutusihi sana kuwasamehe waliotukosea lakini hakuna mahali popote alipotuambia tumsamehe ShetaniNi wakati wa kusamehe, kusahau na kusonga mbele ndugu yangu.
Vyombo vya dola kazi yake ni kuwatia disprine wajeuri!Sasa huoni kama mwendazake alikuwa akitumia vyombo vya dola kuonea watu.
Mwenye haki anastawi milele na milele.Namna alivyoiwasilisha utadhani ni Wapigania uhuru wa zamani kama Kwame Nkrumah au Nelson Mandela , ama labda unaweza kudhani ni Mmarekani Mweusi Martin Luther , Hakika huyu kijana anacho kipawa fulani ndani yake , hebu Msikilize mwenyewe
View attachment 1833730
Hivi Kuna mtu mjinga Kama Etwege hapaMdude sasa hivi kazi yake itakuwa ni kusifia Samia tu
Imeandikwa wapi wee TAGA?Vyombo vya dola kazi yake ni kuwatia disprine wajeuri!
Hiyo siyo maana ya uongozi. Ndiyo maana aliitwa Mshamba. Na kweli alikuwa mshamba tena bwege. Na kafa kiboya sana hata Chalamila hakuaminiVyombo vya dola kazi yake ni kuwatia disprine wajeuri!
CCM hao mzeeLakini nchi hii tunanyanyasana sana wakuu.
Muda aliopoteza, familia ilivyoteseka daah
Acha kusingizia vyombo vya dola sema vyombo vya CCMVyombo vya dola kazi yake ni kuwatia disprine wajeuri!