Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Hiyo siyo maana ya uongozi. Ndiyo maana aliitwa Mshamba. Na kweli alikuwa mshamba tena bwege. Na kafa kiboya sana hata Chalamila hakuamini
Ukiitwa mshamba na watoto wanaohitaji disprine ni sawa kabisa
 
Nina suspect ile hukumu ya kwanza iliyoahirishwa ilikuwa inamtia kambani huyu bwn...
sema wamebadili....
ni maoni tu....
 
Hakuna hotuba!.

Viva Tume Huru ya Uchaguzi Viva! Viva Sugu Viva! Viva Mbowe Viva! Viva Lissu Viva!
Ahsanteni sana, kwanza niwaambie tu kwa kifupi leo ni siku ya kushukuru.

Mtaambiwa siku rasmi ya kutema nyongo, nina kiu sana!.

Mwisho wa video!

Hii ni salamu fupi tu.
 
Hapa mataga wamekasirika kweli.
Mataga mama anamuogopa Mwenyezi Mungu.
 
Eti hotuba kama ya Martin Luther king Jr. Mashuuuz jazz band. NYUMBU kibano kitawatafuna vilevile. Mmepewa likizo fupi na mama . Mwenyewe kasema mpeni time anyooshe uchumi kabla hajawageukia
 
Mshaurini akae kimya tu...kila mtu anajua wazi ya kwamba mahakama imemfutia mashtaka, hivyo hakuwa na hatia hapo awali (alionewa tu)

Hizo habari za kwamba atatema nyongo, bahati mbaya Herode aliyehusika kumsweka ndani kwa sasa hayupo, yupo Heredo mpya ambaye "pengine" kahusika kumfanya awe huru...
 
Dogo atafakari kama alikuwa sahihi
Kuchezea sharubu za Iddi Amin na kama
Angeozea jela bila Mungu kuleta nafuu angejilaumu vipi?Familia yake ingeumia vipi?..

Usilete ushujaa kugombana na chizi alieshika bunduki sokoni....kaponea chupuchupu ashukuru Mungu..kina Saanane familia zao zinalia...
 
Eti hotuba kama ya Martin Luther king Jr. Mashuuuz jazz band. NYUMBU kibano kitawatafuna vilevile. Mmepewa likizo fupi na mama . Mwenyewe kasema mpeni time anyooshe uchumi kabla hajawageukia
Usilie sasa
 
Mshaurini akae kimya tu...kila mtu anajua wazi ya kwamba mahakama imemfutia mashtaka, hivyo hakuwa na hatia hapo awali (alionewa tu)

Hizo habari za kwamba atatema nyongo, bahati mbaya Herode aliyehusika kumsweka ndani kwa sasa hayupo, yupo Heredo mpya ambaye "pengine" kahusika kumfanya awe huru...

Wanaelewa hawa watoto basi?
Tayari anajiona kapata mtaji wa kisiasa...
Kumbe tayari Hali ya hewa ilishabadilika..
 
Back
Top Bottom