safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Uzuri siumii mimi ataumia mdude na familia yake ambae atajifanya anajua sana kuongea na kupambana na mwenye ngivuunadhani kwanini kabla ya Magufuli mdude hakuwepo ? ukileta udikteta tutakupinga bila huruma , hatutanyamaza , ukiwa muungwana tutakuheshimu , hatutakubali kuburuzwa kamwe !