Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

unadhani kwanini kabla ya Magufuli mdude hakuwepo ? ukileta udikteta tutakupinga bila huruma , hatutanyamaza , ukiwa muungwana tutakuheshimu , hatutakubali kuburuzwa kamwe !
Uzuri siumii mimi ataumia mdude na familia yake ambae atajifanya anajua sana kuongea na kupambana na mwenye ngivu
 
Harudii tena mamaee, wanasiasa sio watu wazuri, japo hawezi kuzungumza ila kimoyoyo🤣
 
Unalamu viongozi wa CHADEMA kwa hujuma zilifanywa na CCM?! Kwa taarifa yako Mdude ana utashi wake wa kisiasa, na anafanya siasa kama mwito wake na hajatumiwa na mtu! Wewe baki kilioni na mataga wenzako, mliofikiri Mdude atafungwa!
Kwanini unahangaika na huyo mamluki duni ?
 
Sipendi dhuluma na uonevu kisa wewe ni kiongozi au unamamlaka!

Ni dhambi kubwa sana kumuonea mtu asiye na kosa, kiongozi unaamua tu kwa makusudi kumnyanysa na kumtesa mtu asiye na hatia, ni laana.

Hii inaonyesha wapo watu wengi wanaonewa na viongozi wao n.k.
jamani watanzania wenzangu tubadilike, tumuohope Mungu, tuache kuoneana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punda wa kubeba cocaine amechomoka
Aaah mataga mnajisikiaje siku hizi, hakuna viroba tena baharini, kamatakamata ya mapolisi,DPP kushindana na TRA kukusanya kodi.
Amani kabisa na mama.Akimaliza mitano tunamuongezea kumi tena
 
Urawala wa awamu ya 5 ulikuwa utawala wa shetani, ndiyo maana matendo ya kishetani yalitamalaki.

Yule wakala mkuu wa shetani, nina imani kwa sasa atakuwa amepata tuzo kuu huko aliko kwa kumtumikia shetani kikamilifu.
 
Awamu zote zinazoongozwa na Waislamu zinakuaga saafi Sana na Zina furaha Sana sijajua kwa Nini yaaani. Kwani huko makanisani huwa mnafundishwa kitu gani
Hahhaha
Mwangosi na ulimboka walipigwa kipindi gani? Mabomu Arusha
 
Mdude hutamuona akitukana watu hovyo tena!

Hata wewe hapa ukileta lugha zako za kikwenu lazima mods wakushughulikie
Stupid ass, yaani wewe na hilo dikteta Hamnazo linalooza huko na wenzentu wote ni machoko.
 
Stupid ass, yaani wewe na hilo dikteta Hamnazo linalooza huko na wenzentu wote ni machoko.
Nawewe mods watakushughulikia muda si mrefu! Wewe endelea kuleta lugha za nyumbani kwenu hapa
 
Natoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani...
Chalamila hajawahi kuwa RPC wa mkoa wa Songwe mkuu
 
Huyu jamaa hapana aisee. CCM bado tunaimani nayo ila kwa hili kosa la 2015 hatuta wasahau.
Naomba kufahamu sheria za tz zinasemaje kuhusu malicious prosecution kama mdude anaweza kuwashitaki RPC wa mbeya kwa kumtengenezea mashtaka yasiyo na mashiko
 
Back
Top Bottom