Mbeya: Mhandisi aswekwa ndani kwa kutafuna Bilioni tatu za mradi wa maji. Adai kujenga Kibanda cha mabati cha 'site' kwa Milioni 100

Mbeya: Mhandisi aswekwa ndani kwa kutafuna Bilioni tatu za mradi wa maji. Adai kujenga Kibanda cha mabati cha 'site' kwa Milioni 100

Bavicha hapa umeandika nini

USSR
 
1632299030641.png

Jengo la mabati linalodaiwa kujengwa kwa Tshs 100m fedha za umma

Kwanza ni wazi kwamba hii ofisi haikujengwa, ilikuwapo na ndio ikawekewa rekodi ya "kujengwa"

Pili, ufisadi kama huu Tanzania ni mwingi sana. Hizi kesi zinazokuja kujulikana ni chache sana kati ya nyingi ambazo haziwekwi peupe.

Tatu, suala la wizi wa fedha za umma lazima litungiwe sheria yake, na adhabu kali tofauti na wizi na uhujumu uchumi mwingine. Kumbuka nchi kama China makosa kama haya hukumu yake ni kifo.
 
watu wanapiga bila woga, walijua "Mwendazake" ameshaondoka.
Hao ukizungumzia mwendazake kwao ni mbaya sana maana yeye alikuwa anagombeza viongozi mbele za watu! Basi kawaachia mama Samia mwenye roho nzuri naona kazi inaenda vizuri!
 
Hakuna maendeleo ya kweli bila uhuru wa habari....

Unapobinya uhuru wa watu kusaka na kuripoti habari mambo kama haya yanabaki chini ya kapeti....

Tuliaminishwa hapa, kuwa shujaa mwendazake "kamaliza ufisadi", kumbe kaufukia chini ya kapeti....

Investigative journalism inatumiwa sana na vyombo vya usalama kwenye nchi zilizoendelea, kesi nyingi zinaanzia huko.
 
Hakuna maendeleo ya kweli bila uhuru wa habari....

Unapobinya uhuru wa watu kusaka na kuripoti habari mambo kama haya yanabaki chini ya kapeti...
Wewe ni mpuuzi tu magufuli toka lini akazuia habari za wizi kama hizi? Ungesema za siasa sawa! Hapo unatudanganya saizi huu wizi umekuwa mkubwa maana wanajua mama Samia hana uwezo wa kufatilia kama Magufuli hata yeye alisema anaweza kufatilia graph ka uchumi kama zimeshuka au zimepanda!
 
Hakuna maendeleo ya kweli bila uhuru wa habari....

Unapobinya uhuru wa watu kusaka na kuripoti habari mambo kama haya yanabaki chini ya kapeti...
Kwani haya yametokea kipindi gani? Maana unakuja tena na ngonjera zile zile za miaka yote....😁
 
Wewe ni mpuuzi tu magufuli toka lini akazuia habari za wizi kama hizi? Ungesema za siasa sawa! Hapo unatudanganya saizi huu wizi umekuwa mkubwa maana wanajua mama Samia hana uwezo wa kufatilia kama Magufuli hata yeye alisema anaweza kufatilia graph ka uchumi kama zimeshuka au zimepanda!
Unaishi nchi gani wewe?

Kwani zile 1.5 tril ziko wapi? Wapi uliona vyombo vya habari vimechunguza lile jambo?
 
Wewe ni mpuuzi tu magufuli toka lini akazuia habari za wizi kama hizi? Ungesema za siasa sawa! Hapo unatudanganya saizi huu wizi umekuwa mkubwa maana wanajua mama Samia hana uwezo wa kufatilia kama Magufuli hata yeye alisema anaweza kufatilia graph ka uchumi kama zimeshuka au zimepanda!
Yule wa trilion 1.5
 
Linaweza kujengwa mwaka jana lakini likaandikiwa limetumia milioni mia mwaka huu! Baada ya kuona saizi viongozi wengi vichwa panzi!
Yaani hela iliwe mwaka jana, iandikwe mwaka huu? Bora ukae kimya tu.
 
Back
Top Bottom