Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suburi CAG atoe report mtashika kichwa! Labda achakachue kuonesha mama yuko vizuri ila tofauti na hapo kazi ipo!Nakulilia Tanzania, unajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye choyo.
View attachment 1948186
Hao ukizungumzia mwendazake kwao ni mbaya sana maana yeye alikuwa anagombeza viongozi mbele za watu! Basi kawaachia mama Samia mwenye roho nzuri naona kazi inaenda vizuri!watu wanapiga bila woga, walijua "Mwendazake" ameshaondoka.
Kwali hili limejengwa lini?Hakika tunapigwa kweli kweli. Wapigaji wamefufuka.
Wewe ni mpuuzi tu magufuli toka lini akazuia habari za wizi kama hizi? Ungesema za siasa sawa! Hapo unatudanganya saizi huu wizi umekuwa mkubwa maana wanajua mama Samia hana uwezo wa kufatilia kama Magufuli hata yeye alisema anaweza kufatilia graph ka uchumi kama zimeshuka au zimepanda!Hakuna maendeleo ya kweli bila uhuru wa habari....
Unapobinya uhuru wa watu kusaka na kuripoti habari mambo kama haya yanabaki chini ya kapeti...
Linaweza kujengwa mwaka jana lakini likaandikiwa limetumia milioni mia mwaka huu! Baada ya kuona saizi viongozi wengi vichwa panzi!Kwali hili limejengwa lini?
Ask your mother will explain to you son.Bavicha hapa umeandika nini
USSR
Nimedhani ni awamu hii.Kwali hili limejengwa lini?
Wizi wa serikali kupitia tozo makusanyo ya jiwe sujui yako wapiBavicha hapa umeandika nini
USSR
Kwani haya yametokea kipindi gani? Maana unakuja tena na ngonjera zile zile za miaka yote....😁Hakuna maendeleo ya kweli bila uhuru wa habari....
Unapobinya uhuru wa watu kusaka na kuripoti habari mambo kama haya yanabaki chini ya kapeti...
Unaishi nchi gani wewe?Wewe ni mpuuzi tu magufuli toka lini akazuia habari za wizi kama hizi? Ungesema za siasa sawa! Hapo unatudanganya saizi huu wizi umekuwa mkubwa maana wanajua mama Samia hana uwezo wa kufatilia kama Magufuli hata yeye alisema anaweza kufatilia graph ka uchumi kama zimeshuka au zimepanda!
Yule wa trilion 1.5Wewe ni mpuuzi tu magufuli toka lini akazuia habari za wizi kama hizi? Ungesema za siasa sawa! Hapo unatudanganya saizi huu wizi umekuwa mkubwa maana wanajua mama Samia hana uwezo wa kufatilia kama Magufuli hata yeye alisema anaweza kufatilia graph ka uchumi kama zimeshuka au zimepanda!
Usenge huu .. from now onward natoa pesa yangu tigo pesa ... Acha nichonge kibubuNakulilia Tanzania, unajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye choyo.
View attachment 1948186
Yaani wewe ndiyo unaiona leo hii? Mbona ya siku nyingi wakati Mbarawa akiwa waziri wa Maji? Wacha huo uchochezi mkuu, siyo hela ya tozo hiyo!Nakulilia Tanzania, unajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye choyo.
View attachment 1948186
Yaani hela iliwe mwaka jana, iandikwe mwaka huu? Bora ukae kimya tu.Linaweza kujengwa mwaka jana lakini likaandikiwa limetumia milioni mia mwaka huu! Baada ya kuona saizi viongozi wengi vichwa panzi!