Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

Unadhani kwa yanayoendelea nchi hii mlima utaacha kuanguka
 
Nadhani Tushukuru Mungu, Hakuna madhara kwa binadamu.... Shule ya Generation ime funikwa.. ila leo jpili hakukuwa na wana funzi. Wanafunzi wa Mary's waliopo Bwenin wame ondolewa.
 
Wamekata miti yote kwenye huo mlima landslide lazima itokee .
Ni kweli kabisa hata yale ya Hanang ni haya haya tu
Wanakata miti bila akili na wakijua fika madhara ila wanajitoa ufahamu

Sasa madhara yake ndio haya
Viongozi wao wanajua kuhamisha watu tu ila akili ya kuwahimiza wapande miti kwa lazima hawana
Tuna viongozi hopeless kabisa
 
Ukiwaambia wanasema usiwasumbue wapigakura wetu
 
Nadhani Tushukuru Mungu, Hakuna madhara kwa binadamu.... Shule ya Generation ime funikwa.. ila leo jpili hakukuwa na wana funzi. Wanafunzi wa Mary's waliopo Bwenin wame ondolewa.
Aisee kuna brother wangu anakaa mitaa hiyo, karibu na Mary's.

Jirani yake na nyumbani kwao yule msanii Izzo bizness.

Vipi madhara kwenye nyumba kipande hicho, namcheki kwenye simu simpati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…