Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana kwa dhahama hiyo ya asili, watu wote wa eneo husika 🐒Mlima Itezi maeneo ya Uyole Mbeya umeporomoka na kuleta madhara kwenye nyumba za watu.
View attachment 2963523
View attachment 2963525
View attachment 2963525
Duh! HatariWamekata miti yote kwenye huo mlima landslide lazima itokee .
Unashauri wananchi wapande milimani kupanda miti?Mkiambiwa tunzeni mazingira hamsiki......
Ova
Mungu huyo ameshindwa kusaidia mlima usimeguke ndio aje asaidie mlima umesha meguka?Mwaka huu Kuna mengi yaja.
Mungu atusaidie.
Kila kitu mpaka mfanye muwasubirie viongoziUnashauri wananchi wapande milimani kupanda miti?
Maswali hayo waulize viongozi wa wananchi katika vitengo husika.