Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

Huyo ni Laana kwa namna yoyote! Au ndio wewe una account nbili?

Anayoyashadadia humu mtandaoni unayajua?

Inatakiwa tuwe na sheria kwamba ukifanya ufisadi uuawe au ukishadadia ufisadi ufungwe.

Wewe chawa umenielewa?
Chawa mwenyewe...!
 
Ni kweli kabisa hata yale ya Hanang ni haya haya tu
Wanakata miti bila akili na wakijua fika madhara ila wanajitoa ufahamu

Sasa madhara yake ndio haya
Viongozi wao wanajua kuhamisha watu tu ila akili ya kuwahimiza wapande miti kwa lazima hawana
Tuna viongozi hopeless kabisa
Ndio maana kule Usangi kuna misitu huruhusiwi hata kuokota kuni iliyodondoka kutoka kwenye misitu hiyo. Walijua ukiruhusu tu uharibifu mkubwa utatokea.
 
kuna mjinga mmoja hapa atakuja kusema njombe watalipa hii
 
Uzunguni watu wako chini ya mlima miaka na miaka haijawahi tokea landslide. Mlima wote umejaa miti. Kwa hali inavyoenda Mbeya kutakuwa kitovu cha haya majanga. Watu wanajenga sana milimani ambako juu yake wanalima sana. Huo mlima Kawetere na wa Nsongwi watu wanajenga tu kupandisha mlimani.
 
Ndio maana kule Usangi kuna misitu huruhusiwi hata kuokota kuni iliyodondoka kutoka kwenye misitu hiyo. Walijua ukiruhusu tu uharibifu mkubwa utatokea.
Wengi wanataka elimu sana na kuwafundisha umuhimu wa miti
Miti ni uhai wetu kwanini wakate
Kwa kweli nakereka sana nikiona wafugaji wanavyoharibu ardhi yetu
Na hao wakataji kwa ajili ya mkaa, halafu kuna watu wanawatetea
Sasa kwanini hawapandi wanapoikata?
 
Huu mwaka zinapiga mvua sana si africa si ulaya si asia si amerika ni maji kwenda mbele
 
Back
Top Bottom