Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

Salaam, shalom!!

View attachment 2963343

Mlima kawetele ulioko ITEZI, Uyole, jijini Mbeya umeripotiwa kumeguka na kuziangukia nyumba zaidi ya 20.

Chanzo Cha janga Hilo inasemekana ni mvua nyingi zinaonyesha Nchi nzima, zilizoloanisha udongo Kwa kiasi kikubwa.

Mwanzoni, iliaminika walioko milimani wako katika USALAMA zaidi, kumbe Si Kweli, Mvua za ernino ndio kwanza zimeanza, tuendelee kuwa na Tahadhari na kudumu katika maombi.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Amen.

Source: ITV

Itezi Mbeya

----
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Abdi Isango

Ni kweli sehemu ya mlima imeporomoka na tope kusambaa na kuharibu nyumba 17 pamoja na Shule ya Msingi ya binafsi.

Nyumba zimebomoka kabisa hazionekani, ni kama vile hakukuwa na nyumba, tope limesabaa hakuna kipande cha bati au ubao.

Hakuna madhara kwa binadamu isipokuwa wenyeji wanasema kuna ng’ombe wanne wamesombwa na tope hilo.

Uchunguzi wa awali umebaini chanzo ni mvua kubwa zinzoendelea kunyesha, mvua zilinyesha jana na usiku wa kuakia leo, ambapo Alfajiri ndipo tope likaasambaa.

Wenyeji wanasema kwa kuwa kuna shughuli za kilimo, inawezekana kilimo kimesababisha udongo ukose mshikamano na hivyo mvua inaponyesha inakuwa rahisi kukatika.

Chini ya huo Mlima kuna Mto, mbapo umesomba tope hilo Kwenda mbele zaidi, tope lilikuwa kubwa, limesambaa na kusababisha madhara pia katika nyumab nyingine kadhaa.

Mkuu wa Mkoa na Kamati ya Ulinzi wamefika eneo la tukio na kutoa maelekezo ya tahadhari, Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari kwa kuwa mvua zinaendelea kunyesha, pia wanaojenga karibu na mito nao wametakiwa kuchukua tahadhari kwa kuwa mvua bado zinaendelea kunyesha.
View attachment 2963359

View attachment 2963656View attachment 2963657View attachment 2963658
Kawetele imehamia Uyole! Mlima Itezi na mdogo sana kwa Kawetele na hali zake za hewa zinatofautiana sana.
 
Tubaliki TZ tusamee makosa yetu
Mungu aisamehe Nchi yetu,

Mungu aisamehe viongozi wetu,

Mungu atusamehe wananchi, mmoja Mmoja.

Dhuluma isiwepo nchini, Haki itawale katika Taifa,

Wananchi,viongozi wasimwage Damu isiyo na HATIA kupata utajiri fake, madaraka, nk nk.

Viongozi waheshimu Sanduku la kura.

Mungu aisamehe Nchi yetu. Tupate mvua ya wastani, atuepushie na majanga.
 
Amiin 🤲
 
Salaam, shalom!!

View attachment 2963343

Mlima kawetele ulioko ITEZI, Uyole, jijini Mbeya umeripotiwa kumeguka na kuziangukia nyumba zaidi ya 20.

Chanzo Cha janga Hilo inasemekana ni mvua nyingi zinaonyesha Nchi nzima, zilizoloanisha udongo Kwa kiasi kikubwa.

Mwanzoni, iliaminika walioko milimani wako katika USALAMA zaidi, kumbe Si Kweli, Mvua za ernino ndio kwanza zimeanza, tuendelee kuwa na Tahadhari na kudumu katika maombi.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Amen.

Source: ITV

Itezi Mbeya

----
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Abdi Isango

Ni kweli sehemu ya mlima imeporomoka na tope kusambaa na kuharibu nyumba 17 pamoja na Shule ya Msingi ya binafsi.

Nyumba zimebomoka kabisa hazionekani, ni kama vile hakukuwa na nyumba, tope limesabaa hakuna kipande cha bati au ubao.

Hakuna madhara kwa binadamu isipokuwa wenyeji wanasema kuna ng’ombe wanne wamesombwa na tope hilo.

Uchunguzi wa awali umebaini chanzo ni mvua kubwa zinzoendelea kunyesha, mvua zilinyesha jana na usiku wa kuakia leo, ambapo Alfajiri ndipo tope likaasambaa.

Wenyeji wanasema kwa kuwa kuna shughuli za kilimo, inawezekana kilimo kimesababisha udongo ukose mshikamano na hivyo mvua inaponyesha inakuwa rahisi kukatika.

Chini ya huo Mlima kuna Mto, mbapo umesomba tope hilo Kwenda mbele zaidi, tope lilikuwa kubwa, limesambaa na kusababisha madhara pia katika nyumab nyingine kadhaa.

Mkuu wa Mkoa na Kamati ya Ulinzi wamefika eneo la tukio na kutoa maelekezo ya tahadhari, Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari kwa kuwa mvua zinaendelea kunyesha, pia wanaojenga karibu na mito nao wametakiwa kuchukua tahadhari kwa kuwa mvua bado zinaendelea kunyesha.
View attachment 2963359

View attachment 2963656View attachment 2963657View attachment 2963658
""BUNJI""
NURU YA KIWETELE

Poleni sanaaa
 
Huyu bata angeenda tu hana faida yoyote kwenye hii nchi zaidi ya laana
Faida anayo!
Unajua ni wangapi wanakula, wanavaa, wanasoma kupitia yeye?
Wangapi amewasaidia?
Ushajiuliza wangapi wanamtegemea?
Faida hana kwako ila kwa wengine anayo faida..!
 
Lucas anaishi Bado Kwa mamake😀
 
Faida anayo!
Unajua ni wangapi wanakula, wanavaa, wanasoma kupitia yeye?
Wangapi amewasaidia?
Ushajiuliza wangapi wanamtegemea?
Faida hana kwako ila kwa wengine anayo faida..!
Huyo ni Laana kwa namna yoyote! Au ndio wewe una account nbili?

Anayoyashadadia humu mtandaoni unayajua?

Inatakiwa tuwe na sheria kwamba ukifanya ufisadi uuawe au ukishadadia ufisadi ufungwe.

Wewe chawa umenielewa?
 
Back
Top Bottom