Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Ndugu, kwani ni nani alikuambia mwanasiasa hawezi kuwa mfanyabiashara wa madawa ya kulevya au unaishi kwa kukariri? badili mtazamo hawa wanasiasa pia hawaminiki wana pande mbili.
 
Kila mtu angekuwa na mawazo kama yako dunia isingekuwa na mabadiliko yoyote. Kwenye kupigania haki ni lazima kuwe na sacrifice na wale wa mwanzoni wengi huuawa au kuumizwa na kufungwa kwa kesi za kubambikiwa...
Acha ujinga.Kujitoa bongo ? Tena nyuma yako hakuna hata wananzengo. Kina Mandela walikuwa na wananchi nyuma yao. Narudia ni ufala kusema serikali huku wewe mwenyewe una makando na on top of that nyuma hakuna hata mwananchi atakeotoka nje kukupigania ukiwa jela.
 
suala kakutwa na gram za unga ndio maana kafikishwa kizimbani, kwanini hukupelekwa wewe kizimbani?? hayo unayotaka kuleta wewe ni siasa maji taka
Au ulitaka polisi wapate uthibitisho gani zaidi ya huo?
 
Polen Sana makamanda wa chadema kwa pigo mlilo lipata la kamanda wenu kukutwa na hatia ya kujiusisha na madawa ya kulevya

Pia nimeona Ana mashtaka ya uhujum uchumi.

Nachipenda kuwashaur vijana wenzangu tuache kuoenda mteremko pia tusijifiche nyuma ya vyama uku tukitanya Mambo yetu

Mimi binafs namuombea MDUDE CHADEMA Mungu ampe nguvu katika hili naiman Kama Ana haki atashinda.

Sending by tuchunge kauli zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Ume-Bwabwaja tu wala hukutoa ushahidi wowote ule tulitarajia utuwekee hapa na sisi wengine tuone!!
 
Not relevant.

Mkuu ,umesema Ulimwengu utamfunza hapo umesha mhukumu tayari. Akwilina hakuwa mwana Siasa lakini aiuwawa na Serikali isiyo jali Haki za wengine na hata Kesi ya Mauaji ilifutwa waka singiziwa kina Mbowe mpaka waka hukumiwa.

Ya Mdude tunayajua tangu mwanzo wa misuko suko yake, Serikali haiwezi kukwepa kuhusishwa kwa hili.Simama kwenye Haki usitetee uovu unaofanywa na waovu.

Shirki mbaya ya namna yoyote ile itakuondolea kheri ktk Maisha yako hapa Duniani, ungana na wanao kemea mabaya.
 
Muuza madawa akutwe na gram 23!?... Labda useme ni junki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…