Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mdude alitekwa na kupotea kwa muda kadhaa baada ya Wafadhili kupiga kelele sijui kama unakumbuka Mdude alipigwa vibaya sana na Task force

Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa utagundua kuwa hii serikali ndio iko nyuma ya kuteka na kupoteza wananchi wasio na hatia

Na haya ya Mdude ndiyo yanajidhihirisha kabisa
Ndugu, kwani ni nani alikuambia mwanasiasa hawezi kuwa mfanyabiashara wa madawa ya kulevya au unaishi kwa kukariri? badili mtazamo hawa wanasiasa pia hawaminiki wana pande mbili.
 
Kila mtu angekuwa na mawazo kama yako dunia isingekuwa na mabadiliko yoyote. Kwenye kupigania haki ni lazima kuwe na sacrifice na wale wa mwanzoni wengi huuawa au kuumizwa na kufungwa kwa kesi za kubambikiwa...
Acha ujinga.Kujitoa bongo ? Tena nyuma yako hakuna hata wananzengo. Kina Mandela walikuwa na wananchi nyuma yao. Narudia ni ufala kusema serikali huku wewe mwenyewe una makando na on top of that nyuma hakuna hata mwananchi atakeotoka nje kukupigania ukiwa jela.
 
Sijui kama umenielewa au unafahamu utaratibu wa Sheria na kanuni zake ,kauli yako ya awali umemhukumu moja kwa moja.Kilichopo Mahakamani ni tuhuma tu na Ukweli wa tuhuma hizo uta thibitishwa na Mahakama...

Upuka kuhukumu Watu bila ya Uthibitisho ,bado unaishi kwenye Dunia hii hii iliyo jaa maovu.
suala kakutwa na gram za unga ndio maana kafikishwa kizimbani, kwanini hukupelekwa wewe kizimbani?? hayo unayotaka kuleta wewe ni siasa maji taka
Au ulitaka polisi wapate uthibitisho gani zaidi ya huo?
 
Polen Sana makamanda wa chadema kwa pigo mlilo lipata la kamanda wenu kukutwa na hatia ya kujiusisha na madawa ya kulevya

Pia nimeona Ana mashtaka ya uhujum uchumi.

Nachipenda kuwashaur vijana wenzangu tuache kuoenda mteremko pia tusijifiche nyuma ya vyama uku tukitanya Mambo yetu

Mimi binafs namuombea MDUDE CHADEMA Mungu ampe nguvu katika hili naiman Kama Ana haki atashinda.

Sending by tuchunge kauli zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in all msema kwel mpenzi wa MUNGU....
Kuna post zisizokua na STAHA
Huwa zinapostiwa na mtu anae jiita mdude chadema...

Sina uhakika Kama Ni za huyu jamaa huwa zinatumia jina lake mdude chadema hakika huwa zinakosa maadili.....

Sijajua Kama Ni huyu huyu mdude Alie kua anagombea uenyekiti wa bavicha na Rafiki yangu diwani wa butimba Mwanza John Pambalu

Nafikiria Sana content za mabandiko ya mdude katika mitandao ya ki JAMII yalikua yamejaa ukosoaji wa maudhi na
Utovu wa nidhamu.....
Hatuwezi kuukumu Kama Ni mdude NYAGALI au Ni Nani?? Vitabu vya dini vinatukataza kuhukumu Wala kumjudge mtu Ila uchunguzi ufanyike....

Kwa harakari za namna ya mabandiko ya anae jiita mdude wa mitandao ya kijamii..

Kwa harakari za sampuli hii Hakika na chelea kusema yanaweza mkuta ya marehemu Alfonce mawazo R.I.P

KAMA SIO YEYE AKANUSHE PIA ASHIRIKIANE NA TCRA KUWEZA
KUZIBITI WOTE WANAO HUSIKA NA KUTUMIA HIZO ACCOUNT
utovu wa NIDHAMU
Kweny hili inabidi busara na hekima ili haki iweze kutendeka...
Hapo Ume-Bwabwaja tu wala hukutoa ushahidi wowote ule tulitarajia utuwekee hapa na sisi wengine tuone!!
 
Not relevant.

Mkuu ,umesema Ulimwengu utamfunza hapo umesha mhukumu tayari. Akwilina hakuwa mwana Siasa lakini aiuwawa na Serikali isiyo jali Haki za wengine na hata Kesi ya Mauaji ilifutwa waka singiziwa kina Mbowe mpaka waka hukumiwa.

Ya Mdude tunayajua tangu mwanzo wa misuko suko yake, Serikali haiwezi kukwepa kuhusishwa kwa hili.Simama kwenye Haki usitetee uovu unaofanywa na waovu.

Shirki mbaya ya namna yoyote ile itakuondolea kheri ktk Maisha yako hapa Duniani, ungana na wanao kemea mabaya.
 
Back
Top Bottom