mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Ujinga ni huu unaofanya weweAcheni ujinga mnarudia ujinga walioufanya Makaburu wa Afrika ya kusini
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga ni huu unaofanya weweAcheni ujinga mnarudia ujinga walioufanya Makaburu wa Afrika ya kusini
Alafu siku hizi wasiojulikana si hawapo. Sijui wako wapi..wameamua kumpa zigo la kesi!Hawa malimbukeni wameamua kubambikia tu kesi sasa?
Siasa mumeshindwa mnaleta ubabe lakini ndio begining of the end kwa CcmHuyo kijana mlimtoa sadaka, mulijua fika kua anaenda kusiko lakini hata kumshauri mlishindwa. CDM imekaa kihuni huni tu, ona sasa hata mbowe kukemea ameshindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA wengi wanakula unga na bange likianzaga swala la kupima mkojo hua mnakimbia kwenye viunga vya bungeWatu hubambika kilo sio vigramm vya personal use hahaha mumeshapotea stepu Mdude anatoka asubuhi tu
Mpango wa Mwigulu umeshindwa
Vipi Mandela aliyehukumiwa maisha lakini mwisho wa siku amekuwa shujaa wa dunia wakati Baba yako mzazi alikuwa anahangaika tu kitandani na Mama yako mwisho wa siku amekuzaa wewe nusu mtu nusu MbwaAfike mbali mara ngapi tayari kashafikishwa kizimbani, na kwa mujibu wa hilo shtaka hakuna dhamana. Kwahivyo moja kwa moja mahabusu.
Kuna umbali zaidi ya huo mkuu.
Sasa ulivyosema ameonewa?23gm mahakamani anawashinda hicho ni kiwango cha matumizi mpelekeni rehab [emoji111] [emoji111] [emoji111]
Kivipi? Bado ni mtuhumiwa tu.Tragedy!Mungu amfanyie wepesi huko magereza!
Tangu watu waanze kunyea debe,harakati zimerudi nyuma au ndio zinaongezeka?Ngoja anyee debe!
Hii nchi ukiacha watoto kama nyie mtambe mtaenda kunya ikulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema kwenye Uzi flani asubuhi kwamba humu ndani ID fake ndio zinatupa jeuri so ukijifanya kushindana na dola face to face lazima kujipangaPole yake. Ukiona kina Kigogo wanaisema serikali kwa ID fake lazima ujifunze. Humu JF tunaisema Serikali kwa ID fake sisi sio vilaza. Hapo atateseka miaka kama miaka. Aombe Magufuli ashindwe Urais ama afariki dunia.
Tulikuwa Ccm kabla yako tumehamia upinzani kwa tuliyoyaona dhidi ya nchi yetu
kwa sababu ya kukamatwa muuza unga?Huu ni wakati muafaka wa wafadhili kukata misaada
Amekutwa na heroin, JPM yupo chato anahusika vipi? Na walipoenda kukagua kulikuwa hamna mashahidi kama utaratibu unavyotaka?Magufuli hivi wewe ni Mtumishi wa umma kweli? Je unatenda haki kweli?
Haki huinua taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote
Wapi nimeandika kufanya siasa ni kosa?, au unatafuta kuchoma plag kupitia kwangu?Kufanya siasa ni kosa?
Huo unga mnao ninyi halafu mnabambikia wanaharakati wa upinzaniCHADEMA wengi wanakula unga na bange likianzaga swala la kupima mkojo hua mnakimbia kwenye viunga vya bunge
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Kwa hiyo umehamia upinzani ili watu watumie madawa ya kulevya?Tulikuwa Ccm kabla yako tumehamia upinzani kwa tuliyoyaona dhidi ya nchi yetu
Ni zaidi ya ufala, hakuna aliyeshindana na dola akashinda kirahisi, tumshukuru Melo tunashambuliana hapa kwa ID fakeNi ufala kuisema serikali huku ukiwa na makando kando tena unatumia ID halisi.
Kwa hiyo hizo gram 23 alizokutwa nazo ni za unga wa mahindi,sio? Basi sawa.