Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Haingii akilini mtu aliyekuwa front foot kukosoa serikali kama huyu afanye ujinga wa kukaa na madawa ya kulevya. Hii ni kubambikiwa kabisa na inazidi kutuonyesha jinsi huu utawala ulivyokosa utu na usivyoaminika.
Umebaki wewe nasikia unatumia na kuuza unga!
 
Mnamuonea, kumbambikia kesi. The whole worl is aware of this barbaric act! Hawezi kuwa na madawa ya kul;evya wakati anajua kuwa serikali wakati wowote itampekua! mmekuja nazo wakati wa kumpekua.
 
Hivi kale kasumu ka kansa ya fasta alipigwa Chavez, hakiwezi tupiwa pande hizi?
 
Una ushahidi amebambikiwa wewe?
Wao wana ushahidi kwamba unga ni wake ????

Professional criminal investigators huko Ulaya huwa wanatuma askari kanzu anunue kwako au akuuzie unga mbele ya camera iliyojificha.

Au wanatuma mteja unaemfahamu huku wamemvalisha wire tap.

Au wanaomba jaji awape search warrant ya kutega vinasa sauti kwenye simu yako au kazini kwako.

Haya malalamiko ya kubambikwa walikuwa nayo zamaniiiii wakati wa King Henry miaka 500 nyuma. Polisi wetu wako miaka 500 nyuma!
 
Nasikia covid imemkalia meko kooni tayari, Mungu hadhihakiwi.
 
Mnamuonea, kumbambikia kesi. The whole worl is aware of this barbaric act! Hawezi kuwa na madawa ya kul;evya wakati anajua kuwa serikali wakati wowote itampekua! mmekuja nazo wakati wa kumpekua.
Umebaki wewe! Nakushauri uache hiyo biashara hailipi mkuu!
 
Wanaanza na wewe! Acha hiyo biashara kwanza wewe siyo msukuma acha kujipendekeza kwenye kabila kubwa!
 
Pole yake. Ukiona kina Kigogo wanaisema serikali kwa ID fake lazima ujifunze. Humu JF tunaisema Serikali kwa ID fake sisi sio vilaza. Hapo atateseka miaka kama miaka. Aombe Magufuli ashindwe Urais ama afariki dunia.
Hiyo sentensi ya pili kutoka mwisho itatimia mungu hajawahi kumpenda shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahh , life sentence hii na hii issue iko planned muda mrefu baada ya attempts kadhaa kutozaa matunda.. Baada ya yule jamaa mtekaji kuapishwa kurithi kiti cha **** nilijua tu ataendelea na ile michezo yake ya zamani ya kunyamazisha watu ili kumfurahisha Jiwe..

Anyway hakuna atakayedumu
 
Kabisa Bestie mie naamini Ben Saanane kama angekuwa hatumii jina lake la kweli humu basi angekuwa hai hadi leo hii.

Pole yake. Ukiona kina Kigogo wanaisema serikali kwa ID fake lazima ujifunze. Humu JF tunaisema Serikali kwa ID fake sisi sio vilaza. Hapo atateseka miaka kama miaka. Aombe Magufuli ashindwe Urais ama afariki dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…