Umebaki wewe nasikia unatumia na kuuza unga!Haingii akilini mtu aliyekuwa front foot kukosoa serikali kama huyu afanye ujinga wa kukaa na madawa ya kulevya. Hii ni kubambikiwa kabisa na inazidi kutuonyesha jinsi huu utawala ulivyokosa utu na usivyoaminika.