Usipoteze muda kumuelewesha asiyeelewaNiliishi na dada mmoja nilikuwa ninamtegea sana kutoa uchafu nje. Kwakua alikua msafi sana na alikua mpole alitoa bin karibu kila Jumamosi.
Kuna siku tulikuwa tunakula, aliniambia iko siku utamkumbuka yule mjinga aliyekuwa anatoa bin kila siku. Hakuna kinachodumu milele wakati huo utakua unaishi mwenyewe utamtegea nani.
Yake maneno mpaka leo huwa ninayatafakari sana. Kumbuka hakuna hali inayo dumu milele.
kweli wewe huna akili wewe unaweza kumwacha mama aako akapata matatizo japo nikichaaNawashauri wazazi wamwache akae jela wasihangaike kuuza mashamba kuhangaika na kichaa
kumbe kosa ni kutoa lugha chafu???sasa mbona mmemfungulia kesi ya uhujumu uchumiVijana SOMENI ALAMA ZA NYAKATI Kuna sababu gani kupingana na Serikali kwa kutoa lugha chafu za Matusi????huyu MDUDE Ni kinara wa kutukana!!!!Ni vizuri zaidi kuwa na hoja kinzani bila kumkwaza mtu na hoja hiyo itaeleweka!!!
Okay Mpiganieni kwa hashtag zenu zisizo maliza hata mwezi!!!
Zote Ni kesi zinazomhusu!!!!kumbe kosa ni kutoa lugha chafu???sasa mbona mmemfungulia kesi ya uhujumu uchumi
ukweli anaujua mungu,trust me mungu anayaona hata mashetani yanayo bambikia watu kesi...hayo mashetani kuna siku na wakati anaojua yeye mungu ataamua kuyaadhibuZote Ni kesi zinazomhusu!!!!
Mdude ni mjinga na mbumbumbu,!ukweli anaujua mungu,trust me mungu anayaona hata mashetani yanayo bambikia watu kesi...hayo mashetani kuna siku na wakati anaojua yeye mungu ataamua kuyaadhibu
Achana na Mambo ya kidunia,Kila mtu atajibu kwa wakati Wakeukweli anaujua mungu,trust me mungu anayaona hata mashetani yanayo bambikia watu kesi...hayo mashetani kuna siku na wakati anaojua yeye mungu ataamua kuyaadhibu
Jesus!!Kada wa CHADEMA anayejulikana kama Mdude Nyagali amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.
Pia soma:
1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri Mkutano wa CHADEMA na Wanahabari, Mdude Nyagali awadai Polisi fidia ya Mil 500 - JamiiForums
2). Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika - JamiiForums
3). Mdude Nyagali kufungua kesi mahakamani kwa hati ya dharura kuhusu pesa za wahanga tetemeko Kagera - JamiiForums
4). John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) - JamiiForums
5). Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4 - JamiiForums
6). Mdude Nyagali na lugha yake ya kiukosoaji katika mitandao ya kijamii - JamiiForums
Huyo mpishi ni chaguo la mungu wa ccm,huwa anapenda malaika wake wamsifie tu,awamu yake imefanya maendeleo makubwa kuliko awamu zote[emoji16][emoji16]Siasa bwana. Hata ugali utapika ili tu uvutie wapiga kura. Ila ukishapata ulichokitaka hata million 50 ulizoahidi kwa kila kijiji unasahau.
Anahusika 100%, wengi tu kawapoteza sababu hataki kukosolewa! Ana roho mbaya sana yule baba, Mungu atamlipa kwa maovu yake!Magufuli anahusikaje hapo kwenye madawa ya kulevya,acha chuki za hovyo wewe
KWA HIYO Mdude ALIKUWA mtumishi wa umma!Magufuli hivi wewe ni Mtumishi wa umma kweli? Je unatenda haki kweli?
Haki huinua taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote
Siasa za bongo ni takataka ni ushamba uliovunja ungo.Hawa malimbukeni wameamua kubambikia tu kesi sasa?