Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Pole yake. Ukiona kina Kigogo wanaisema serikali kwa ID fake lazima ujifunze. Humu JF tunaisema Serikali kwa ID fake sisi sio vilaza. Hapo atateseka miaka kama miaka. Aombe Magufuli ashindwe Urais ama afariki dunia.
Kumbe na wewe mwoga tu
 
Awamu hii ukiwa mkosoaji hata iwe kwa nia njema haijalishi wewe jiandae kwa lolote kati ya haya
upotee, ukongolewe viungo vyote ubakiwe na ukilema wa maisha, upatiwe kesi isiyo ma dhamana ili usote ndani miaka nenda rudi..

Narudia tena mtangulizeni Mungu mbele..hii vita ni kali saana....mniombee!!!
.
 
Kamanda unapoteza muda wako bure! Polisi wana ushahidi punguza hisia kama una ushahidi nenda kamsaidie


Sent from my iPhone using Tapatalk
Acha siasa wewe hii kesi itapoanza kusikilizwa utashangaa itavyokuwa inahairishwa kutokana na kukosekana ushahidi
 
Una ushahidi amebambikiwa wewe?


Sent from my iPhone using Tapatalk
Siku zote mlikuwa mnamuita Fundi simu ,mara mchoma CD pale mbeya hana kitu,lakini leo mnasema anafanya Drug trafficking kwa kukutwa na gram 23.4 hivyo ni muhujumu uchumi,hivi mnawajua real drug trafficker kwa ukwasi?
 
Watoto wa watu huwa wana adabu, huyo ni mtoto wa shetani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wana laana 100% kasingiziwa . Hawana hata aibu na wajue laana hii itakula hata vizazi vyao mpaka kizazi cha 4. Mdude is inocent wanamhujumu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidhungu inaitwa Retreating km ukiona Adui amekuzidi mbinu na uendapo utakomaa kuna chance ya kuangamia unatakiwa kurudi nyuma na kujipanga upya au ku declare umeshindwa na kujisalimisha "Retreat or Surrender"[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…