Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa nilifikiri anaishi U.S.A kumbe tulikuwa tunakula nae viazi vya mbeya pole yakeJapo ni wamemusingizia bila hata aibu dogo alitakiwa asome alama za nyakati pole mdude
Kumbe na wewe mwoga tuPole yake. Ukiona kina Kigogo wanaisema serikali kwa ID fake lazima ujifunze. Humu JF tunaisema Serikali kwa ID fake sisi sio vilaza. Hapo atateseka miaka kama miaka. Aombe Magufuli ashindwe Urais ama afariki dunia.
Acha siasa wewe hii kesi itapoanza kusikilizwa utashangaa itavyokuwa inahairishwa kutokana na kukosekana ushahidiKamanda unapoteza muda wako bure! Polisi wana ushahidi punguza hisia kama una ushahidi nenda kamsaidie
Sent from my iPhone using Tapatalk
Siku zote mlikuwa mnamuita Fundi simu ,mara mchoma CD pale mbeya hana kitu,lakini leo mnasema anafanya Drug trafficking kwa kukutwa na gram 23.4 hivyo ni muhujumu uchumi,hivi mnawajua real drug trafficker kwa ukwasi?Una ushahidi amebambikiwa wewe?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Watoto wa watu huwa wana adabu, huyo ni mtoto wa shetani!Siku zote mnyonge hana haki, lakini naamini ipo siku wanaofanya hizo dhambi watakuja kujibu mbele za muumba wao.
Ukamuwekee mtoto wa watu heroin ili tu aonekane anafanya biashara ya dawa za kulevya.
AIBU KWAO wafanyao laana hizo kwa ajili ya mtu furani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo huyo jamaa alikuwa anasafirisha hizo gram 23 .Mbowe ni muharibifu. anawatumia sana vijana wa kitanzania kusafirisha madawa ya Kulevya. Wako wengi sana .....nao watakamatwa tu.
Sio busara kumuita mwenzio kichaa kuwa mstaarabu.
Sent using [emoji106]
Hopeless.comment ever you ass!Anapenda sifa huyu. Ila Coronavirus kiboko yake. Imemsepesha na kukimbilia Chato.
Kajificha ila corona itamfuata tu,mungu atamlaki mawinguniAnapenda sifa huyu. Ila Coronavirus kiboko yake. Imemsepesha na kukimbilia Chato.
Wewe Mungu hakuoni? Na malipo yako hayatakuwa hapa duniani?Ila Mungu anawaona na malipo ni hapa hapa duniani.
Odhis *
Kidhungu inaitwa Retreating km ukiona Adui amekuzidi mbinu na uendapo utakomaa kuna chance ya kuangamia unatakiwa kurudi nyuma na kujipanga upya au ku declare umeshindwa na kujisalimisha "Retreat or Surrender"[emoji3][emoji3][emoji3]Hili kundi lililokabidhiwa nchi nimegundua kuwa hawajui kupigana kisayansi, hili ni kundi la kupigana kwa kutotumia akiri, Siku zote kwenye Vita ukiona adui anakuzidi nguvu unatakiwa urudishe nyuma majeshi sasa hawa wakipelekewa wanaingia Kingi, hawatumiii akiri kupambana na wananchi wanatumia nguvu hata kipindi achacho wanajua kuwa dunia yooote inawatazama
Sent using Jamii Forums mobile app