Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mungu siyo mnafiki, endelea na furaha yako!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndo napochukia kujiingiza kwenye mapambano ya siasa...unaiacha familia yako inahangaika wew unaenda kunyea debe...kwani angetulia tu angepungukiwa nini?
Ni ufala kabisa. Unajiingiza kichwa kichwa wakati wenzako wana jeshi. Faida gani sasa na hii kesi imekaa vibaya. Hapa kutoka ni baada ya miaka.
 
Wamembambikia dogo. Mashetani kabisa hawa. Wamemuuwa Ben Saanane mchana kweupee
Haingii akilini mtu aliyekuwa front foot kukosoa serikali kama huyu afanye ujinga wa kukaa na madawa ya kulevya. Hii ni kubambikiwa kabisa na inazidi kutuonyesha jinsi huu utawala ulivyokosa utu na usivyoaminika.
 
Halafu bado kuna mijitu na matumbo yao inajiita viongozi wa dini eti inamuombea fulani
 
Magufuli hivi wewe ni Mtumishi wa umma kweli? Je unatenda haki kweli?
Haki huinua taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote
CCM wameshaishiwa mbinu na pumzi. Kazi yao kuu iliyobaki ni kutumia Jeshi la Polisi na Mahakama kutekeleza dhulima zao.

Kuna ule usemi usemao "Heri lawama kuliko Fedheha"
Halafu wakipatwa na mabaya kisha wale walioguswa ktk dhuluma hizi wakidhangilia wanaandamwa kwa maneno ya kejelo eti sio wazalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mandela Ndio nani [emoji3]
Our Mandela, stay strong. Hii haitafanya kunyamaza. Aliyeumbiwa utetezi huwa hatetereki na misukosuko.

Pole our Madiba. Tupo pamoja ktk maumivu yako. Mungu akulinde dhidi ya hii "mikorona" kandamizi
 
Ukisoma Comment za Watu humu ndio utaiona Rangi haisi za mioyo ya Wananchi,miungu Watu ndio wengi zaidi hongereni.
 
Hii kesi inaonekana kabisa ya kutengeneza kabisa ila ni hatari sana kwa Nchi inapata laaana za ajabu kwa ajili ya matukio ya watu wachache ingawaje dogo ilitakiwa aachane na mambo hayo kipindi hiki...baadae mnataka watu waiombee Nchi bila kubadilika hizi tabia zenu mnaangaamiza Taifa kwa vizazi vijavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…