Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Mungu siyo mnafiki, endelea na furaha yako!!#HABARI Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.
Source EATVView attachment 1449165
Makamanda kampiganieni, kamanda wenu.[emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Eti nabakia Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app