Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Watu hubambika kilo sio vigramm vya personal use hahaha mumeshapotea stepu Mdude anatoka asubuhi tu

Mpango wa Mwigulu umeshindwa
CHADEMA wengi wanakula unga na bange likianzaga swala la kupima mkojo hua mnakimbia kwenye viunga vya bunge

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Afike mbali mara ngapi tayari kashafikishwa kizimbani, na kwa mujibu wa hilo shtaka hakuna dhamana. Kwahivyo moja kwa moja mahabusu.

Kuna umbali zaidi ya huo mkuu.
Vipi Mandela aliyehukumiwa maisha lakini mwisho wa siku amekuwa shujaa wa dunia wakati Baba yako mzazi alikuwa anahangaika tu kitandani na Mama yako mwisho wa siku amekuzaa wewe nusu mtu nusu Mbwa
 
Maccm na policcm ipo siku mtalia na kusaga meno.

Siku itakuja ambapo Bashite ataenda kujificha Chanika kwenye nyumba ya Makuti ili wahuni wasimshike kota

kush na Wisdom
 
Pole yake. Ukiona kina Kigogo wanaisema serikali kwa ID fake lazima ujifunze. Humu JF tunaisema Serikali kwa ID fake sisi sio vilaza. Hapo atateseka miaka kama miaka. Aombe Magufuli ashindwe Urais ama afariki dunia.
Nilisema kwenye Uzi flani asubuhi kwamba humu ndani ID fake ndio zinatupa jeuri so ukijifanya kushindana na dola face to face lazima kujipanga

Sent using kidole gumba
 
Magufuli hivi wewe ni Mtumishi wa umma kweli? Je unatenda haki kweli?
Haki huinua taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote
Amekutwa na heroin, JPM yupo chato anahusika vipi? Na walipoenda kukagua kulikuwa hamna mashahidi kama utaratibu unavyotaka?
 
CHADEMA wengi wanakula unga na bange likianzaga swala la kupima mkojo hua mnakimbia kwenye viunga vya bunge

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Huo unga mnao ninyi halafu mnabambikia wanaharakati wa upinzani
 
Kwa hiyo hizo gram 23 alizokutwa nazo ni za unga wa mahindi,sio? Basi sawa.

Sijui kama umenielewa au unafahamu utaratibu wa Sheria na kanuni zake ,kauli yako ya awali umemhukumu moja kwa moja.Kilichopo Mahakamani ni tuhuma tu na Ukweli wa tuhuma hizo uta thibitishwa na Mahakama...

Upuka kuhukumu Watu bila ya Uthibitisho ,bado unaishi kwenye Dunia hii hii iliyo jaa maovu.
 
All in all msema kwel mpenzi wa MUNGU....
Kuna post zisizokua na STAHA
Huwa zinapostiwa na mtu anae jiita mdude chadema...

Sina uhakika Kama ni za huyu jamaa huwa zinatumia jina lake mdude chadema hakika huwa zinakosa maadili.

Sijajua Kama Ni huyu huyu mdude Alie kua anagombea uenyekiti wa bavicha na Rafiki yangu diwani wa butimba Mwanza John Pambalu

Nafikiria Sana content za mabandiko ya mdude katika mitandao ya ki JAMII yalikua yamejaa ukosoaji wa maudhi na
Utovu wa nidhamu.....
Hatuwezi kuukumu Kama Ni mdude NYAGALI au Ni Nani?? Vitabu vya dini vinatukataza kuhukumu Wala kumjudge mtu Ila uchunguzi ufanyike.

Kwa harakari za namna ya mabandiko ya anae jiita mdude wa mitandao ya kijamii..

Kwa harakari za sampuli hii Hakika na chelea kusema yanaweza mkuta ya marehemu Alfonce mawazo R.I.P

KAMA SIO YEYE AKANUSHE PIA ASHIRIKIANE NA TCRA KUWEZA
KUZIBITI WOTE WANAO HUSIKA NA KUTUMIA HIZO ACCOUNT
utovu wa NIDHAMU
Kweny hili inabidi busara na hekima ili haki iweze kutendeka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…