imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hakuna sheria chini ya huu utawala wa Magufulisawa atajieleza hayo mahakamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sheria chini ya huu utawala wa Magufulisawa atajieleza hayo mahakamani
Acha ujinga weweMkuu ,umesema Ulimwengu utamfunza hapo umesha mhukumu tayari. Akwilina hakuwa mwana Siasa lakini aiuwawa na Serikali isiyo jali Haki za wengine na hata Kesi ya Mauaji ilifutwa waka singiziwa kina Mbowe mpaka waka hukumiwa...
Subiri ujionee kesi inavyoenda. Usisahau kumpelekea kamsosiSasa kutukana kiongozi sheria inasema adhabu yake ni kubambikiwa heroine?
Niko CCM toka imeanzishwa mpaka Sasa Wala siwezi kwenda kwa wapinzani uchwara/njaaTulikuwa Ccm kabla yako tumehamia upinzani kwa tuliyoyaona dhidi ya nchi yetu
Hakuna alieua na kutesa watoto wadogo akashinda, unawajua madikteta wa dunia wote? Niambie mwisho wao ilikuwa ni nini, wewe usione aibu Sema mwisho wao waliishia kwenye nini?Ni zaidi ya ufala, hakuna aliyeshindana na dola akashinda kirahisi, tumshukuru Melo tunashambuliana hapa kwa ID fake
Sent using kidole gumba
Alaumiwe Mbowe kwa kuandamana bila kibali
Kweni kafa?au mumeshampangia corona?Vipi unataka kuziba nafasi ya Mdude ?. Jamani taratibu, tujitahidi tujenge kuheshimia.
Umesahau mwenyekiti wako kawauzia sana watoto wetu pale kwenye Disco lake bilicanasHuo unga mnao ninyi halafu mnabambikia wanaharakati wa upinzani
kijana kuwa mzalendo,ipende nchi yako.awa watukana serikali hawata kusadia kitu.wapuuzeVijana nyie wa Lumumba yaani njaa zenu hadi ubinadamu umewatoka nyie ni ma shetani ila yana mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni Roben Island ya Mbeya
Kwa Comment kama hizi ni wazi hata wewe na wenzako mnajua wazi amevambikiziwa kesi kisa mienendo yake ya kisiasa!Walaaniwe wote wanaoshirika kudhulumu haki ya watu kuishi kwa uhuru na amani!Washauri wake ni hii mibavicha ya humu,
Akitukana rais inaanza kushangilia yeye anavimba kichwa, haya sasa hata muona hata mmoja.
Matoto mengine ni kutesa wazazi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata chacha wangwe ulimwengu umemfundishaHata Akwilina (R.I.P.) Ulimwengu ume mfundisha ..
Mkuu Chikwuemeka kumbe busara zimesheheni,Ushauri wako umenyooka. Hengera.Kwa namna alivyokoswakoswa,ilibidi asome alama za nyakati maana upepo ulionyesha tu yupo kwenye rada......nawashauri vijana kuangalia upepo wa siasa,siasa za sasa siyo zile za kumtusi Jakaya na akatabasamu tu na kuendelea na mishe zake......
Akili zako za kipuuzi sana. Unachekelea mabaya kwa mwenzio tena ya kubambikiwa. Kuna watu siku mola akiamua kuchua roho zao lazima wataabike kwa kulipa mabaya kabla ya kuchukuliwa roho zao.wapo na wanamshauri vizuri sana sema vijana wa chadema hawasikilizi wazee
Sent using Jamii Forums mobile app
KANU iko wapi?!Niko CCM toka imeanzishwa mpaka Sasa Wala siwezi kwenda kwa wapinzani uchwara/njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Bila shaka huyo ndiyo msambazaji mkuu wa madawa ya mboe kulevya mikoa ya nyanda za juu kusini.
Baada ya kubanwa na Makonda Dar wamekimbilia huko.
Sent using Jamii Forums mobile app