Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mkuu ,umesema Ulimwengu utamfunza hapo umesha mhukumu tayari. Akwilina hakuwa mwana Siasa lakini aiuwawa na Serikali isiyo jali Haki za wengine na hata Kesi ya Mauaji ilifutwa waka singiziwa kina Mbowe mpaka waka hukumiwa...
Acha ujinga wewe
 
Ni zaidi ya ufala, hakuna aliyeshindana na dola akashinda kirahisi, tumshukuru Melo tunashambuliana hapa kwa ID fake

Sent using kidole gumba
Hakuna alieua na kutesa watoto wadogo akashinda, unawajua madikteta wa dunia wote? Niambie mwisho wao ilikuwa ni nini, wewe usione aibu Sema mwisho wao waliishia kwenye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu alitakiwa apewe kesi ya kubaka au kuua ingemfaa Sana Apo anaangalia kusoto na kulia hawaon wale walio muingiza mkenge wote wapo karantin wanaogopa Corona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Mungu yupo basi pasi na shaka hatakubali Watanzania waishi kishetani kisa mtu mmoja.
Kama yupo atamvuna huyo mtu
 
Washauri wake ni hii mibavicha ya humu,
Akitukana rais inaanza kushangilia yeye anavimba kichwa, haya sasa hata muona hata mmoja.

Matoto mengine ni kutesa wazazi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Comment kama hizi ni wazi hata wewe na wenzako mnajua wazi amevambikiziwa kesi kisa mienendo yake ya kisiasa!Walaaniwe wote wanaoshirika kudhulumu haki ya watu kuishi kwa uhuru na amani!
 
Kwa namna alivyokoswakoswa,ilibidi asome alama za nyakati maana upepo ulionyesha tu yupo kwenye rada......nawashauri vijana kuangalia upepo wa siasa,siasa za sasa siyo zile za kumtusi Jakaya na akatabasamu tu na kuendelea na mishe zake......
Mkuu Chikwuemeka kumbe busara zimesheheni,Ushauri wako umenyooka. Hengera.
 
Back
Top Bottom